Natafuta mwanamke wa kuzaa nae nitunze mtoto tu kuoa siwezi sitaki utumwa

JITU LA MIRABA MINNE

JF-Expert Member
Mar 28, 2015
726
471
Sifa
Age 21 hadi 32
Mrefu, white kidogo awe na umbo namba 8
Awe anafanya kazi muajiriwa au mfanyabiashara

Sifa zangu mimi
Age 28, mrefu futi 6, chocklet colour sio maji ya kunde sio mweusi, muajiriwa wizara nyeti, na mjasiriamali

NB; Nipo tayari kumtunza mtoto wangu na mama yake ila sitaki habari za kufuatana fuatana mara unarudi saa ngapi ?ullikua wapi? Nitawasomesha watoto haina shida naomba walioko serious njoo pm nipo serious tuujaze ulimwengu.
 
Yap najua ndoa zinachangamoto sana na zinafupisha maisha ya watu sitaki kuoana tuzae tu yatosha nitakutunza na mtoto
 
Beba mimba mkuu kwa mashariti hayo atakaekuzalia kweli utampenda? Unapenda mtoto na sio mama yake? Eti kufatana? Kama huna upendo siku ya kulala nae hisia utazitoa wapi?

Uko rude sana hata mungu hawezi kupitisha maombi yako.

Una uhakika wewe una uwezo wa kumpa mwanamke mimba?
Isipoingia mara ya kwanza si itabidi mfatane mjaribu tena? Na isipoingia tena na tena unafanyeje?
 
Nenda nchi za duniani mf US uwekewe uterus ya bear halafu ufanyiwe in vitro fertilization utafurahia hapo unazaa mwenyewe no mwanamke wala nini mwenzio Elton John alipogundua kuwa hawezi kujiinvovu na wanawake alipigwa hiyo akazaa mwenyewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom