Nahitaji Mpenzi wa kike, niko Mwanza

lup

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
2,514
2,737
Wadau habari ya Siku ya Leo.. Kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu, mimi ni Kijana kati ya miaka 27 na 30. Naishi mwanza mjini mjini. Wilaya ya ilemela.
Nahitaji mpenzi wa kike kwa ajiri ya mahusiano ya kweli lakini baadhi ya sifa ninazohitaji ni hizi.. Umri na umbo sio tatizo lakini asiwe na tabia ya mizinga, asifanye mahusiano Haya kama biashara ingawa tutasaidia pale inapobidi..awe free kupatikana na hata kutoka. Awe mwelewa na awe tayari kutengeneza mahusiano ya maana na sio ya kubabaisha na kupoteza mda.
Zaidi ni kwamba watu huwa wanakutana popote kwani mitadao haina watu ila inawatumiaji wa mtandao.wapo waliokutana hapa na leo leo wanafamilia tayari na maisha yanasonga. kwa hiyo sio tatizo kama tukiwasiliana
Mengine tutaongea namba yangu ni 0620394062.unitafute kama unamaanisha na sio kujaribu
 
Wewe itakuwa mademu wote mtaani kwenu washakujua unaupungufu wa nguvu za kiume,yaani midemu mikareeee imejaa tz umeshindwa hadi jf ikuwezeshe,si wakuozeshwa mwanetu wewe huna nguvu na si mzima kunako kichwani.
 
Hivi si kuna nyuzi za wadada wanatafuta wanaume humu ndani? Anyway ningekua mimi kabla ya kuweka bandiko langu ningepitia wadada wote wanaotafuta. Maana ni ajabu kila kukicha matangazo tena ya jinsia tofauti ni kwamba hawa waandishi hawazioni nyuzi za wenzao wanaotafuta wakamalizana juu kwa juu?

Au shida ni vigezo?
Anyway siku hizi kila kitu kipo hata kama hana choo utakitengeneza tu mwenyewe.
 
  • Thanks
Reactions: lup

Similar Discussions

Back
Top Bottom