Kuna rafiki yangu ambaye ameoa na ana watoto wawili. Walioana vizuri tu na mke wake na wameishi vizuri tu kwa mda wa miaka sita sasa.
Tatizo ambalo linampa wakati mgumu amegundua kwamba mke wake...
Habari wakuu
Ni matumaini yangu mu wazima kwenye hili jukwaa
Nimemshusha heshima kama vyeo vyangu nimeondoka navyo,hapa nipo zangu huku ndani ndani kinondoni mkwajuni kuna jirani yangu mmoja...
THE GEOGRAPHY OF A WOMAN
Between 18 and 20 a woman is like Africa, half discovered,half wild, naturally beautiful with fertile deltas.
Between 21 and 30 she is like Amerrica, well developed...
Samahanini kwa Picha lakini ujumbe ufike maana naamini hakuna mgeni kwa haya..
Jamani Wapenzi wake zetu, hivi kweli Mnajua yanayotukumba sisi wapenzi na waume zenu tunapokwenda kunyoa ktk...
Habari zenu wadau,,,
Niende moja kwa moja kwenye mada,,
Tayari Nina mchumba ambae nilishapanga nae mwezi December tukatambulishane kwa wazazi na Kupanga mikakati ya kulipa mahari na tupange ndoa...
Vijana wengi hulalamikia sheria kali zinazowekwa na wazazi nyumbani.
Sheria na kanuni hizo hazijawahi kuandikwa kokote lakini kila mzazi lazima awe na sheria zake ambazo hutekelezwa na vijana au...
Nimekutana na Makala hii, nimeona ni muhimu tuisome maana watu wengi sasa ni waathirika.
In one of my Ask Pastor Sunday sessions, I was asked about the question of masturbation. My initial...
Hivi ni nini kinachokutofautisha wewe na wasichana wengine au ni vitu gani vitatu ambavyo unauhakika mwanaume atavipenda kwako,tafadhari usiniambie uzuri"
Kama umeelewa naomba jibu kama ujaelewa...
Huyu mwanamke tumeoana nae mwaka 2010 na mwaka 2011 tukawa tumetengana, mimi nilikuwa mwajiriwa na yeye pia, kuna matatizo yalitokea kazini nikawa nimeachishwa na hapo ndipo vitimbi vya huyu...
Wanaume wenye kazi zao, elimu nzuri sijui hela hawataki kutuoa. Wanataka watugegede wee!
Wenzenu hatutaki uzinzi mwishowe tuje tufie lodge tuzikwe kwa aibu, tunataka kufanya ibada ya ndoa. Any...
poleni na majukumu!!
kiukweli hizi camera zenye video record xinazopachikwa kwenye vishkizo au hata ndani kwako na kisha kudukua vitu bila ya wewe kujijua na mhusika alietega anakuha kujionea...
Habari za wakati huu
Kama kilivyo kichwa cha habari hapo juu
Mimi ni kijana ambaye nipo katika msongo mkubwa wa mawazo baada ya kulamba sumu ya penzi ambapo mwisho wa siku hata nikijaribu...
Baada ya kufanya utafiti
na kuridhika nao. Sasa tumeamua kuutoa mbele ya watanzania! Kama hujui hesabu hasa Probability sasa iko hivi, probability ni uwezekano wa kitu fulani kutokea sasa leo...
Mke wa mtu ana wivu mpk imekuwa taabu sasa,nilikutana nae wakati ndo naingia chuo tu,alikuwa kam mshauri kwang kwakuwa kanipita sio mkubwa kihivyo bt 30+ huko,mwanzoni alikuwa anajifanya kuniasa...
Nakumbuka kwa upande wangu siku ya kwanza kupiga mastarbation nilifanya chumbani kwenye kitanda baada ya kumsikia rafiki yangu ananiambia kuwa jamaa fulani anafanya mastarbation, nikamuuliza ndio...
Mambo vipi
Mume kama huyu anae amka asubuhi kutaarisha watoto na kupika chai kupiga pasi nguo za watoto kuwaandaa kwenda Shule .
Wife kalala
Mume kama huyu je ni Mume bora au wewe kwa mtazamo...
Kwenye dunia hii iliyojaa uonevu na wanadamu waliojaa unyama mwingi kuishi bila emotions zozote kuna faida kubwa
Namaanisha unakuwa hauna hasira, uchungu, majonzi, upendo kwa yoyote...Hii...
Hello my people of JamiiForums,
We always meet here for the purpose reasons.
According to the heading above it's a discussion topic kuhusiana na mfumo mzima wa maisha ya wanawake wa kale na wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.