Misheni town tunashukuru. Tunataka ndoa sio uzinzi na matajiri

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
25,557
45,872
Wanaume wenye kazi zao, elimu nzuri sijui hela hawataki kutuoa. Wanataka watugegede wee!

Wenzenu hatutaki uzinzi mwishowe tuje tufie lodge tuzikwe kwa aibu, tunataka kufanya ibada ya ndoa. Any nearby available single mishen town?

Ila usiniambie wewe ni mtoto wa katelephone njoo na uhalisia wako nitakupa mtaji wa kuuza chapati au nitakununulia bodaboda na mahari utakayompa mzee wangu maana atanipa mzee hapendi kula mahari yule.

Mahari yako ndio mtaji wako.
 
sawa misheni town wenzio wanakuja, Hivi na huko USA ndo hivi hivi?
 
Yote maisha..muhimu upendo uwepo tu..maana mademu wengine nuksi, naskia sku hizi mkizinguliwa na vibentenason mnatoa VITASA VYA KUFA NTU...Alafu mnakwala kila kitu
 
Yote maisha..muhimu upendo uwepo tu..maana mademu wengine nuksi, naskia sku hizi mkizinguliwa na vibentenason mnatoa VITASA VYA KUFA NTU...Alafu mnakwala kila kitu
na wewe kwanini ulelewe? unajua maan ya kuwa mwanaume kweli?
 
Hadi hili sakata la boss gure na zama liitwe la kale.
Miss utakua umeongea mengi. Anyway kila la kheri huko PM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom