Mama yangu kasababisha mchumba wangu anikasirikie

Mama yangu kasababisha mchumba wangu anikasirikie

Mhdiwani

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
650
Reaction score
712
Habari zenu wadau,,,
Niende moja kwa moja kwenye mada,,

Tayari Nina mchumba ambae nilishapanga nae mwezi December tukatambulishane kwa wazazi na Kupanga mikakati ya kulipa mahari na tupange ndoa iwe lini,,,

Dada mkubwa wa mchumba wangu anakaa mtaa mmoja na mama yangu yani yupo karibu na nyumba yetu, na dada huyo anaonekana kutokunikubali
Lkn binti pamoja na mama yao wamekubali kila kitu

Sasa juzi mama yangu alikua anaongea na jirani yetu na kumwambia kuhusu mimi kua nakaribia kuoa. Hili sio tatizo lkn tatizo ni pale alipoulizwa naoa lini
Akataja mwezi ambao naoa lakini mimi bado cjapanga mwezi ambao naoa

Yule Dada mkubwa wa mchumba wangu akaskia yale maongezi
Kwa hiyo alitafsiri kua tayari mimi nina mchumba mwingine na tayari nimepanga nae mwezi wa kuoa

Siwezi kumlaumu huyu dada kwasababu ni kweli sijalipa mahari kwao, na pia sijapanga naoa lini. Kwa hiyo aliposikia hivyo akahisi mimi tayari nina mtu mwengine na mdogo wake nampotezea muda,,,

Akampigia sim mdogo wake akamweleza jinsi alivyofkiria. Tangu juzi nikituma sms sijibiwi na nikipiga simu haipokelewi. Kinachouma zaidi juzi asubuhi nilimtumia pesa kwa ajili ya matumizi madogo madogo. Roho inaniuma sana kwa hili tukio

Siamini kama mama yangu amekosa busara kiasi hiki na kuongea jambo lile na yeye mwenyewe ameniambia kua ameongea vile ili dada yule ajue kua mipango yenu inaenda vzr kumbe dada yule ametafsiri tofauti,,,,

Wadau nishaurini nianzie wapi
Nianze kwa mama nimuambie ukweli ? Au nivunge nipambane na hali yangu,
Lkn je nikitulia siataendelea kuharibu bila yeye kujua?

Au nianze na dada wa mchumba wangu?
Huyu mchumba kila nikituma sms hajibu,, nikipiga hapokei
Ushauri wenu Tafadhali nipo njia panda
 
Ongea na mama yako kwanza. Wewe umepata tu taarifa hiyo usiifanyie kazi bila kujiridhisha mkuu toka kwa wahusika (mama na huyo mtoa taarifa kwako na kwa mchumba wako).
 
Kaka ikiwa sasaivi bado ujaoa huna msimamo kama mwanamme ukisha oa si watakupanda kichwa huo ukoo? huyu Dada wa mke wako yeye inamukhusu nini? hakupendi alikua anakutaka au ulimtongoza? au una mapungufu gani mpaka?
kama kweli unataka kuoa simama kama mwanamme na uwe na maamuzi ya kiume else watakupanda kama daraja.
sisemi usimsikilize mpenzi wako lakini na yeye kama mwanamke ajue nafasi yake alitakiwa akusikilize,hapo Mama kosa lake lipi? sorry to say this lakini huyo Dada wa mpenzi wako hana adabu na awache umbea...
kama hataki kupokea simu yako na wewe tulia wasikuone una washwa washwa wakati wao pia wana makosa..
samahani kama ntakua nimekukera ila wameniudhi...
 
Nimekuelewa mkuu huyu binti nikimpigia cm hapokei na nikituma sms hajibu Nafkiria kupiga kimya
 
Habari zenu wadau,,,
Niende moja kwa moja kwenye mada,,

Tayari Nina mchumba ambae nilishapanga nae mwezi December tukatambulishane kwa wazazi na
Kupanga mikakati ya kulipa mahari na tupange ndoa iwe lini,,,

Dada mkubwa wa mchumba wangu anakaa mtaa mmoja na mama yangu yani yupo karibu na nyumba yetu ,, na dada huyo anaonekana kuto kunikubali
Lkn binti pamoja na mama yao wamekubali kila kitu,,,

Sasa juzi mama yangu alikua anaongea na jirani yetu na kumwambia kuhusu mimi kua nakaribia kuoa ,, hili sio tatizo lkn tatizo ni pale alipoulizwa naoa lini
Akataja mwezi ambao naoa ,,,lkn mimi bado cjapanga mwezi ambao naoa,,
Yule Dada mkubwa wa mchumba wangu akaskia Yale maongezi,,
Kwahio alitafsiri kua tayari mimi Nina mchumba mwengine na tayari nimepanga nae mwezi wa kuoa,,,

Siwezi kumlaumu huyu dada kwasababu ni kweli sijalipa mahari kwao ,,,na pia sjapanga naoa lini
Kwahio aliposikia hivyo akahisi mimi tayari Nina mtu mwengine na mdogo wake namputezea muda,,,

Akampigia sim mdogo wake akamweleza jinsi alivyofkiria
Tangu juzi nikituma sms sijibiwi na nikipiga cm haipokelewi
Kinachouma zaidi juzi asbh nilimtumia pesa kwaajili ya matumizi madogo madogo ,,.
Roho inaniuma sana kwa hili tukio

Siamini kama mama yangu amekosa busara kiasi hiki na kuongea jambo lile ,,,na yeye mwenyewe ameniambia kua ameongea vile ili dada yule ajue kua mipango yenu inaenda vzr ,,kumbe dada yule ametafsiri tofauti,,,,

Wadau nishaurini nianzie wapi

Nianze kwa mama nimuambie ukweli ? Au nivunge nipambane na hali yangu,
Lkn je nikitulia siataendelea kuharibu bila yeye kukua?

Au nianze na dada wa mchumba wangu?

Huyu mchumba kila nikituma sms hajibu,, nikipiga hapokei

Ushauri wenu Tafadhali nipo njia panda
hajitambui huyo mpenz wako
 
Kosa gani hapo mama amefanya?..mwanaume ukikosa msimamo na kujiamini ni maradhi mabaya sana....
 
Kuna milima ktk ndoa, hilo bonde tu unatoa jasho!!
Anyway zungumza na mchumba wako hata kwa smsumpe ukweli wako, asipokuelewa tafuta mwingine.
 
Sidhani kama huyo mchumba wako ana mapenzi ya dhati na wewe manake kama aliambiwa hayo maneno na Dada yake angetumia busara kukaa na wewe na kujua kilichotokea na siyo kukaa kimya.
 
Sasa hata hajajua what's going on anapiga kimya !!!! Hakuoendi buana huyo...piga kimya pambana na hali yako kwanza atakuja mwenyewe huyo
 
kuwa wa kiume dogo...wacha kulia lia....wanaume hatulili ndoa....mamako anakupenda na atakulinda daima....angiza bapa ingine nalipia.........ukijichanganya utaendeshwa mbaya....
 
Kama unampenda kweli usiogope mfate ujue nini kinaendelea
 
Mchumba wako baada ya kutokea hili bado unamtafuta kupitia sms!? Labda hujawa tayari kuoa wewe!

Habari zenu wadau,,,
Niende moja kwa moja kwenye mada,,

Tayari Nina mchumba ambae nilishapanga nae mwezi December tukatambulishane kwa wazazi na
Kupanga mikakati ya kulipa mahari na tupange ndoa iwe lini,,,

Dada mkubwa wa mchumba wangu anakaa mtaa mmoja na mama yangu yani yupo karibu na nyumba yetu ,, na dada huyo anaonekana kuto kunikubali
Lkn binti pamoja na mama yao wamekubali kila kitu,,,

Sasa juzi mama yangu alikua anaongea na jirani yetu na kumwambia kuhusu mimi kua nakaribia kuoa ,, hili sio tatizo lkn tatizo ni pale alipoulizwa naoa lini
Akataja mwezi ambao naoa ,,,lkn mimi bado cjapanga mwezi ambao naoa,,
Yule Dada mkubwa wa mchumba wangu akaskia Yale maongezi,,
Kwahio alitafsiri kua tayari mimi Nina mchumba mwengine na tayari nimepanga nae mwezi wa kuoa,,,

Siwezi kumlaumu huyu dada kwasababu ni kweli sijalipa mahari kwao ,,,na pia sjapanga naoa lini
Kwahio aliposikia hivyo akahisi mimi tayari Nina mtu mwengine na mdogo wake namputezea muda,,,

Akampigia sim mdogo wake akamweleza jinsi alivyofkiria
Tangu juzi nikituma sms sijibiwi na nikipiga cm haipokelewi
Kinachouma zaidi juzi asbh nilimtumia pesa kwaajili ya matumizi madogo madogo ,,.
Roho inaniuma sana kwa hili tukio

Siamini kama mama yangu amekosa busara kiasi hiki na kuongea jambo lile ,,,na yeye mwenyewe ameniambia kua ameongea vile ili dada yule ajue kua mipango yenu inaenda vzr ,,kumbe dada yule ametafsiri tofauti,,,,

Wadau nishaurini nianzie wapi

Nianze kwa mama nimuambie ukweli ? Au nivunge nipambane na hali yangu,
Lkn je nikitulia siataendelea kuharibu bila yeye kukua?

Au nianze na dada wa mchumba wangu?

Huyu mchumba kila nikituma sms hajibu,, nikipiga hapokei

Ushauri wenu Tafadhali nipo njia panda
 
Fanya juu chini umtafute mchumba wako umueleze ukweli kila kitu kitakua sawa
 
Mama hana kosa, hao inaotska kuoa ndio hawana busara, wameshindwa nini kuna kukuuliza? Na wewe hujasikia tatizo la mchumba wako ila una bashiri tu kuwa mama yako Ana kosa. Mkane basi huonekana unapata mama mwingine.
 
Back
Top Bottom