Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,655
Nakumbuka kwa upande wangu siku ya kwanza kupiga mastarbation nilifanya chumbani kwenye kitanda baada ya kumsikia rafiki yangu ananiambia kuwa jamaa fulani anafanya mastarbation, nikamuuliza ndio nini akanielekeza basi nami nikaenda kufanya ila sikuona raha yoyote ok niambie nawe mazingila gani yalikupelekea unaingia kwenye tasnia hii ya kupiga mastarbation.
Nb: Mastarbation ni hatari sana kwa afya yako pia ukiingia ni mgumu kutoka ni kama uteja fulani
Nb: Mastarbation ni hatari sana kwa afya yako pia ukiingia ni mgumu kutoka ni kama uteja fulani