Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Umesafiri, haupo nyumbani. Usiku unampiga simu mke wako umjulie hali hamjaongea kutwa nzima. Ile mmeanza tu kuongea, mara paaap, wife anakwambia kwa papara huku akihema kwa nguvu "samahani baby...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 nina elimu ya kidato cha nne + college certificate ya fani ya IT(information Technology) ni mweusi na mwembamba kiasi Natafuta mpenzi wa kike mwenye umri...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
I am confused about my mental state. When I see a person winning a running race, my mind starts craving to be a good runner. Whatever great ability I see in others, I want to have it in abundance...
4 Reactions
42 Replies
3K Views
Kijana amepangisha chumba, ndani ya ile nyumba kuna bwana ameajiriwa serikali ni au shirika la umma. Si haba ameoa mke mrembo na anamudu kubadilisha mboga. Kijana wewe unatumia nguvu ya ziada...
10 Reactions
69 Replies
6K Views
Baada ya kufanya utafiti na kuridhika nao. Sasa tumeamua kuutoa mbele ya Watanzania! Kama hujui hesabu hasa Probability sasa iko hivi, probability ni uwezekano wa kitu fulani kutokea sasa leo...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Love Poem: Soon I will die. If you hold on with hurting, despite of my bleeding, and deep crying, soon I will die. If you go on with rudeness, pressing my heart like a button, shooting me like a...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu, Siku moja nilitoka kwenda mpirani lakini bahati mbaya katika pilika pilika nikasahau kilonga longa changu. Basi bwana Mungu si Athumani nimefika Salama salimini mpirani na washikaji wangu...
4 Reactions
34 Replies
3K Views
Ananisimulia Rafiki yangu xxxx xxx... Aisee wakuu, jana nimepatikana bana, kuna manzi mmoja tulipeana phone # sasa tukawa tunafanya convo za kutosha. For over three of four days tumekuwa kwenye...
16 Reactions
626 Replies
53K Views
Amani kwenu, Nina jamaa yangu mpaka hivi sasa dunia anaiona chungu na hajui achukue uamuzi gani dhidi ya mkewe na mkwewe. Jamaa ameoa mwanamke ambae tayari alishaolewa na kuzaa mtoto mmoja ila...
3 Reactions
58 Replies
7K Views
Ni mapenzi ya kweli na yanayogusa shina la moyo, hii sio "Mpaka kifo kitakapotutenganisha!" Heartbreaking: Thai Man Marries Dead Girlfriend In this tragic love story from Thailand, a man...
0 Reactions
26 Replies
10K Views
Kwanza nimshukuru Mungu kwa kuniokoa katika hili. Amen Ikiwa ni mida ya SAA 5 usiku, nashuka zangu kituoni(Tabata Bima), nikitokea zangu huko Victoria(GEPF) nilikokua nafanya kazi(temporary)...
6 Reactions
20 Replies
5K Views
kuna utafiti naufanya wakuu na uko katika final stage. So Naomba kuuliza,hivi wanawake wa mkoa wa Darisalama huwa mnatuchuliaje chukuliaje sisi wanaume tusiokua na magari hapa mjini?
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Hii tulikuwa tunaongea mahala fulani kama stori tu wakati mkiwa kazini.Kwamba kutokana na matatizo ya uzazi hasa wale waliopo kwenye ndoa inafikia hatua kwamba mwanaume hasa mwanaume au mwanamke...
0 Reactions
44 Replies
7K Views
Mizinga mpaka lini?
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Wakuu salama. Baada ya kuumizwa katika mahusiano tangu mwaka jana mwezi wa pili,sikuwa nimepanga wazo la kuoa wala la kuwa nademu permanent. Sasa banaa ee nimekutana na binti mmoja hivi,huyu...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Hello, FAHAMU MAHUSIANO YAKO KAMA YANA BENDERA NYEKUNDU Mahusiano yeyote yanaweza kuwa hatari kwa wakati wowote, mahusiano mabaya sio tu yale ambayo yamefika mwisho na kutengana kwa...
4 Reactions
18 Replies
10K Views
Heshima kwenu wakuu, Mimi nashukuru Mungu kwa kutupa hawa wanawake, lakini wanatupa mateso tabu na kutuweka matatizoni sisi Wanaume. Tunajua Mungu hajakosea kuwaumba, lakini wanatuweka kwenye...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari JF, Ofisi iko juu, floor kadhaa sasa nyuma kuna mtaa!! Kuna mojawapo ya nyumba iko vizuri sana ila wakaamua kujenga nyumba ya uani, kwa sasa ipo kwenye 'linta' haijapauliwa bado. Mchezo...
15 Reactions
68 Replies
8K Views
Hivi inakuwaje nyie wanaume huwa hamjiangalii kwenye vioo,, Unakuta mwanaume ana nywele puani hadi zimetokeza nje hivi hamuwezi kata mnaziacha hivyo zinachungulia nje[emoji19][emoji19] mnatia...
10 Reactions
191 Replies
14K Views
Wajameni Jumamosi nilihudhuria harusi ya rafiki yangu pale KIRAMUU Hall, Mbezi sasa kabla bwana harusi hajaingia ukumbini nilimsikia akihaha kumpigia simu Baba yake (Baba Mzazi) ambae anaishi hapo...
4 Reactions
80 Replies
12K Views
Back
Top Bottom