Wasalaam wana MMU, huwa nachungulia tu hili jukwaa ila leo nmepata uvuvio wa roho mtakatifu kutiririka yangu machache.
Mosi ni hii tabia yenu mabinti wengi kupenda penda tu hovyo hovyo...
ni kama mwenzi mmoja umepita tu nlikuwa na wenzangu kadhaa tunajaribu kuinusuru ndoa ya jamaa yetu ambayo ilifungwa miezi 4 iliyopita. imagine miezi 4 tu tena wao wanasema ni mingi sana..wameamua...
Miaka yetu sisi mke alikuwa anaanza kufanyiwa interview toka akiwa mdogo. wazaz wanamuangalia mwenendo wake. jinsi anavyoenda kisimani kuchota maji, anavyoshirikiana na wenzie, shambani ...
Habar za majukum wakuu? Bila kupoteza muda niende kwenye point..
Katika uelewa wangu hua naona wanawake hujengewa iman kua katika maisha yao pamoja na kua na ndoto zao, NDOA ni kama sahani ya...
Hivi mtu ukiwa unaweza mapenzi kila mda kila siku tatizo ni nini na hli tatizo limenianza sina mda mrefu sijui shida ni nini, naombeni ushauri wenu na pia kama kuna mtu anaelewa dawa yake pia...
Nampenda sana huyu msichana kwasababu kuna fadhila nyingi sana bila malipo yoyote alinifanyia kwa dhana ya mapenzi ya kweli mimi na yeye.
Nakiri ubize wa kimaisha unanifanya nimuweke pembeni...
Wana JF niende kwenye mada, kuna jamaa ni mpangaji mwenzangu likibonge hivi ana wake wawili. Anaenda zamu yaani akienda kwa bi mkubwa siye tunalala raha mstarehe ila ikiwa zamu ya bi. mdogo hapa...
Hello friends, habari zenu,
Ninataka kuja dar lakin niliweka tangazo Jana , jf habari Na hoja mchanganyiko kuwa nataka kuja DSM sina wa kunipokea,
Ila kupitia ushauri wa ndugu Na jamaa Na wazazi...
My baby jamani don't listen to them, nakuomba please mimi ni wako japo tumekutana hapa JF na kupanga appointment zetu, I know you get me.
Ukiniacha mimi nitaumia zaidi, kama ungelijua...
ni mwaka ambao siwezi kuusahau na mpaka leo sijaweza pona majeraha ambayo niliyapata kutoka kwa mpenzi wangu ambaye nlimpenda na kumwamini sana. naweza sema sikuwa nmependa kama ambavyo nlipenda...
Wakuu,
Mnawachukuliaje wasichana wenye tattoo, kuna binti napiga nae stori hapa huku natype JF, ana tattoo shingoni na kwenye mkono, ila ni mzuri kinoma, ana shades zake nini, nimetoka mihangaiko...
Habari wanajamvi,
Mimi kijana wa kiume mwenye miaka 20's.
Nina shahada ya uhandisi wa umeme.
Nimejiajiri katika fani yangu hiyo hiyo.
Natafuta rafiki ambae atakuja kua mke hapo baadae.
Awe...
Hello guys,
As i told you earlier i was searching for a job,now am employed with RENT A CAR company as logistic personnel, but before full contract, i have three months probation period, i had an...
Habari ya muda huu wanajamvini,
Hebu njoo tuambiane your first kiss kwa mpenzi/ mke/ mume ulienae kwa sasa ilikuaje..,
Nikianza mimi mwenyewe binafsi ilikua ni kama kichekesho...
Huyu ex wangu alinisaidia sana kipindi nipo a level mpaka chuo, kifupi yeye ndiye aliyenisomesha mpaka nimemaliza chuo.
Nyuma ya pazia alikuwa anatumia pesa za jamaa yake kunisomesha mpaka...
Habari,
Mimi hadi sasa nneshindwa wakaelewa hawa ndugu zetu wanawake. Mimi baada ya kuona usumbufu umezidi, nliamua kujinunulia kimdoli cha kunaniliuu, na maishabyalikuwa poa.
Baada ya kumaliza...
Nimeishi na mke wangu kwa muda mrefu mpaka sasa tuna watoto wawili sasa baada ya kujifungua huyu mtoto wa mwisho mke wangu amekosa ashki kabisa ya mapenzi hata romance hataki ukisema umnyonye...
Najaribu kutoa maono yangu ili ikiwezekana basi niwe nimewasaidia dada zangu wasijikute wanazeekea nyumbani na kuishia kuzaa tu ovyo na kubaki na historia ya maisha yenye manung'uniko na...
Mimi nimeoa na ninaishi na mke wangu lakini hatujabarikiwa kupata mtoto na wote tunafanya kazi mke wangu serikalin na mimi kwenye kampuni moja hapa mjini Dar kutokana na ubize wa kazi tuliamua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.