Nini kinachokutofautisha wewe na wasichana wengine

mwenda wazimu

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2017
Posts
819
Reaction score
1,283
Hivi ni nini kinachokutofautisha wewe na wasichana wengine au ni vitu gani vitatu ambavyo unauhakika mwanaume atavipenda kwako,tafadhari usiniambie uzuri"

Kama umeelewa naomba jibu kama ujaelewa uliza
 
Ama kweli wewe ni mwenda wazimu...

Ngoja tusubiri tuwaone watasemaje...
 
Wengi utawasikia wakisema mimi najua kupika au kuna anayebisha
 
Back
Top Bottom