Hello guys
Hivi juzi kati nlipata binti mmoja mdogo tu ambae hakuwahi kuliwa 0713, lkn kwa jins alivonipenda alinitunuku despite all odds, like pain etc... nlipiga tigo bao la kwanza everything...
Amani kwenu wadau.
Kutokana na maisha kuzidi kupanda kipato kuwa hafifu, wife ameamua kubuni kajimradi kake cha kutengeneza chapati ili naye kidogo ajikwamue na ugwadu wa life.
Tatizo lipo hapa...
Habari.
Kwenye maisha bwana, na hili liwe funzo kwa kweli.
Katika harakati za maisha, niliendaga morogoro kusalimia, nililipofika huko nilikaa kama mwezi hivi, Nilikutana na kijana mmoja ambae...
Habari zenu wana JF,
Naongea na wewe binti ambaye bado upo au upo kwenye mahusiano. Mabinti wengi ni vipofu mnapokuwa kwenye mahusiano na mbaya zaidi na jamii inayotuzunguka ndiyo kipofu zaidi...
Habari wana harakati wa JF,
Huu ni mwezi wa kumi|Oktoba ya mwaka 2017, naamini bado maisha yanasonga mbele yapo sio mazuri sana lakini tushukuru Mungu kwa yote.
Katika huu mwezi ni wazi kwamba...
wana jf hamjambo?...
Napenda kuwatangazia kuwa namtafuta mchumba wa kike ambae mungu akitujalia tutafunga nae ndoa.
Sifa zangu:
•Rangi: Maji ya kunde
•Jinsia: male
• Umri ...
Wana Jf nawasalim wote
Ninaishi na mdogo wangu Wa mwisho ambae ninamlea kwangu tangu akiwa form 4 hadi sasa amemaliza diploma
Hivi karibuni aliniambia kuna mtu wake anataka kuja kujitambulisha...
Habari ndugu zangu.
Naomba kuuliza maswali mawili
1. Je dhana ya laana ya mzazi ni halisi au ni ya kufikirika tu? Naomba ambaye amewahi kulaaniwa na mzazi wake na laana ikamfika au haikumfika...
Mwanaume kakubali kukuoa ila familia imekataa usibadilishe dini, Mwanaume akasema basi muendelee kuishi pamoja bila Harusi, unamuacha unatafuta mtu yeyote tu hata kama hana sifa ili tu uonekane...
Wapi ilipo furaha ya mwanamke?
Je umtimizie mahitaji yake ya kifamilia na mwanaume uwe busy na shughul zako?,umwachie ATM card na uchelewe kurudi nyumban?
Enyi wanawake wapi zilipofuraha zenu?
C&P
ASILIMIA kubwa ya WANAWAKE wanapenda kuwa na WANAUME wanaojiweza kiuchumi "BIG BOSS", Lakini wanapotambua kwamba wameshaoa hushangaa sana na huumia sana na kusema WANAUME wote ni WAONGO...
yes!!
nilikua na uhusiano na mwanamke mmoja ivi kwa takribani miaka 6 bila moyo wangu kufikiria kumuoa wachilia mbali kumuoa....na hadi kwao nilijulikana kama sala ya bwana.
all of a sudden...
Wakuu habarini za mchana,
Kuna mdada nilidate nae few months ago lakini kutokana na baadhi ya mambo kutokwenda sambamba mimi nikaomba tuachane.
Sasa baada ya muda kidogo ananiambia ana ujauzito...
Habari wana JF,
Naimani wote muazima kwa uweza wa mwenyezi Mungu,
Jamani kama nilivoelezea hapo juu wanawake wenzangu ebu tuitambue thamani yetu sisi kama sisi jamani kiukweli tukianza katika...
Kama rafiki yako kazi yako kazi yake ni kukupeleka Bar au Club, kukuunganisha na wanaume wenye pesa, na kukusimulia umbea umbea wa mjini, ataishia kukuharibu tu na wala hautajengeka.
Rafiki wa...
My singles, lets hear what these married folks have to say kwa kweli. Maana wengi wangetamani kuendeleza girfriend/boyfriend to wife/husband, lakini wengi mambo huenda ndivyo sivyo. Kuna watu...
Na Mgeni wa Jiji.
Habari waungwana!, natumaini mu wazima buheri wa afya. Leo mgeni naomba ushauri wa dhati kwa haya ninayokwenda kuandika. Amini wazo lako ni muhimu sana kwangu ndugu yenu...
Habarini?
Mi ni mwanajf wa kuperuzi kama guest. Lakini leo nimepatwa na nimelazimika kupata ac ili mnisaidie kwa ushauri.
Ipo hivi, mimi nilikua na mpenzi ambaye huu ni mwaka wa tatu sasa. Miaka...
Huku wanaume majasiri tusioyumbishwa tukililia mifugo yetu ikiibiwa unakuta mwanaume boss mzima kutoka Dar analilia mwanamke.
Je, wanaume wa Dar tuwahamishie Kenya ambako wanaume wanapigwa na...
Habari zenu wanaJF,
Miaka michache iliyo pita nilikuwa nikipata mikosi yaani nakusudia binti anakupenda mwenyewe anaomba uhusiano na wewe pia akiwa na nia umuoe, wewe unajitolea mnafika hatua ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.