kama weweMume bwege
yeahKila siku ama?
Mume bwege
Mzee usipanic kila mtu anaishi maisha anayoyataka yeye na familia yake wengine ni siri yao sasa kama wewe maisha yako umeyafafanua hapa tulia sindano zikuingie hakuna aliekutaka uhadithie unavyoishi na mkeo.kama wewe
poa mkuu sasa ubwege umetoka wapiMzee usipanic kila mtu anaishi maisha anayoyataka yeye na familia yake wengine ni siri yao sasa kama wewe maisha yako umeyafafanua hapa tulia sindano zikuingie hakuna aliekutaka uhadithie unavyoishi na mkeo.
Ahahaha kama nilivyosema kuna mtu anaweza kuona kama unakosea ndo yanapokuja majibu ya hivi ila hata yeye mwenyewe kuna vitu mkewe anaweza kuwa anamfanyisha akivisema hapa wewe mwenyewe utaweza kumwita hivyohivyo bwege so tuvumiliane tu kaka.poa mkuu sasa ubwege umetoka wapi
Umenikosha kweli kweli sijajua kwa nn mm nisingekuoa ww malkia wa nguvu nilichelewa wapi mm jaman[emoji134] [emoji134]Zoba na mwanaume halelewi ivo jamani mwanaume kumfanya km houseboy, mume ana heshima yake kumbuka mwanaume aliumbwa kwa mfano wa Mungu na sisi tuliumbwa kwa ubavu wa mwanaume sasa dume kulifanya ivo ukweli ni kumtukana Mungu na utalipia dhambi hiyo