Kero za camera siri

Kero za camera siri

ragin

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2015
Posts
7,391
Reaction score
9,388
poleni na majukumu!!

kiukweli hizi camera zenye video record xinazopachikwa kwenye vishkizo au hata ndani kwako na kisha kudukua vitu bila ya wewe kujijua na mhusika alietega anakuha kujionea mengi mno.

yaani sijui nielezeje zinakera, zinaboa, zinauzi mno. na naiomba mamlaka husika ijaribu kulitatua hili swala ikiwezekana hizi camera zimilikiwe na watu maalumu hususan wana usalama na sio kiholela.

iko hivi ni wiki tulipata mgeni sasa kumbe kabla hajarudi kwaoalitegesha video ilikuwa kwenye kochi masikini weee pitapita huku tukiwa utupu wa mwili wengine katika harakati za kuoga kumbe kitu kinarekodi tu siku iliyofuata alietegesha akaja akakichukua amefika kwake akantumia video eti tuwage saaingine tunafanya usafi wa makochi kila mara.
jamani imeniboa mnooo. uzuri tu ni dada yangu sasa napata picha angekuwa mtu baki je???

vitu vingine ni hasara tu.
 
Dadayako kaangalia sehemu zako na kukwambia uzifanyie usafi...kwanini akutegee wewe camera? So kaona tupu yako pia?
 
Capture.JPG
 
Kama hauna vitu vya ajabu unapokuwa faragha wala huwezi ogopa hizi vitu
 
Duh!!!

Huyo lazima anahisi kitu kibaya ila hakukuambia au hajakuambia bado..
 
Muulize mumeo kama nae hakukatiza uchi pande za camera
 
Huyo dada km ningelikuwa ni mm,angeloa damu [emoji16]
 
Huyo dada km ningelikuwa ni mm amenifanyia hivo,angeloa damu [emoji16]
 
Huyo dada nae ni changamotoo, sasa ndo nini!!!!
 
Mtu unaweza jikuna hata kwenye tako. Loh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom