Waliobahatika kuishi enzi za analogia wanafahamu jinsi kuoa katika kipindi hicho ilivyokuwa shughuli nzito. Ilikuwa unaweza kuwa umepata mtu unayempenda kabisa lakini hadi apitishwe na wakuu wa...
Habari zenu, najua weekend iko poa japo kwa wengine majanga tena makubwa.Naomba kila mwanamume asome na ajifunze kitu kuwa wanawake sio ndugu wala rafiki zako kamwe.
Ni hivi juzi nilipandisha uzi...
Poleni na stress za mahusiano, pia hongereni kwa furaha ya mahusiano
Tuje kwenye hoja ya msingi, katika jamii zetu kumekuwepo na kina dada wanaozishwa na kuachwa na wazazi wenzao kwa sababu...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu
Mapenz ni kitu cha furaha sana hasa ukimpata anayekupenda
Kuna vitu vya kuzingatia endapo uko kwenye penz...
Mimi mwanaume naishi mkoani nimekuja Dar kikazi nikafikia kwa mchumba wangu, ndo mara yangu ya kwanza kufikia kwake nimemkuta binti rafiki yake, ila kiukweli, ni mzuri japo sitaki kumlinganisha na...
Ni tamaa ya pesa tuu inayopelekea wanawake kutoka na mwanaume mwenye kitambi kiukweli hawa ni weupe sana kwenye majambozi yaani kidogo tuu anaanza kuhema balaa isitoshe kitambi kinameza dushelele...
Your ex boyfriend wouldn't put up photos of you together on Facebook (even when you expressed that you wanted them to after they never would) and hid the in a relationship post from their Facebook...
Sijui kwanini mheshimiwa alichelewa kupata urais, yaan masela wananiambia kuwa Tanzania ukiwa Na elfu 5 TU inakutosha outing Na mademu wawili Hakuna Cha game SIJUI wapi,
Hali mbaya mpaka...
Kwanini usimwambie mtu mimi nalala chini nataka tuanze maisha? unajipaiiisha mara baba yangu Waziri Mkuu, mama yupo Dubai.
Nimeumia sana kwa lililotokea kwa mwanamke mwenzetu.
10. I think of you as a brother.
(You remind me of that inbred banjo-playing geek in Deliverance.)
9. There's a slight difference in our ages.
(I don't want to do my dad.)
8. I'm not...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar hapo juu kinavyojieleza
alikuwa ni mwanafunz wa montesor maria kawe kamo jijin mwanza kabila lake ni mjita wa huko bunda,
Nilikutana...
Wadau kama heading ilivyo apo am stil single bandungu hey ladies where a u..naitaji king'asti a.k.a demu awe mchumba n all that am 25 yrs ..day worker .
Wakuu,
Nimekuwa nikielezwa hii kauli mara kadhaa sasa.
Walioko kwenye ndoa naomba mtufahamishe kuhusu ukweli wa hili jambo.
Na kama lina kweli kwanini tunashuhudia kila kukicha ndoa...
Mm ni mwanaume Wa umri Wa miaka 27 sasa pia ni mkunga /nurse ktk ngazi ya diploma ,
Ninae mpenz ambae pia ni mkunga japo bado anasoma mdada huyu tokea tumekua ktk mahusiano yapata miaka 2 na 1/2...
Kumekuwepo na mijadala mingi sana hususani lawama za wanawake kwenda kwa wanaume hususani tendo la ndoa
Wanawake wengi wanalalamika hawapewi haki yao kikamilifu katika ndoa zao wengi...
JINSI YA KUBAKI KUWA MASIKINI.
1. Kamwe usiamke mapema, endelea kulala na kujinyosha mpaka pale njaa itakapokuuma.
2. Kamwe usipange jinsi ya kutumia pesa zako, wewe zitumie tu pale unapozipata...
Miezi miwili iliyopita kupitia Fb nilibahatika kuomba urafiki kwa mwanamke mmoja hivi.
Baada ya kuwa marafiki tulianza Ku chart na hatimaye kuomba tunda kwa mwanamke huyo.
Mungu si Athumani bana...
Wadau wa MMU natumaini hamjambo,
kama wewe ni mpenzi wa mashairi yahusuyo mahusiano na mapenzi, basi katika pitapita yangu huko online nimekutana na shairi hili lifuatalo kwa ajili yako...
Unakuta mwanamke ni mama tu wa nyumbani kaolewa na mumewe na anapendwa sana asubuhi kama ilivyo wajibu anaamka mapema anamuandalia maji ya moto ya kuoga mumewe.
Mumewe anaamshwa anakwenda bafuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.