Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

The most difficult time to be in a relationship as a guy is in your early twenties. The period when you are stuck in a limbo, trying to figure out yourself and who you want to be. At this age...
0 Reactions
2 Replies
632 Views
TETESI NI KUWA MWANAUME ALIYEIBIWA NI MKAZI WA KIGOMA Mama huyu akiwa hajielewi kwa kile kilichompata,baada ya kula uroda na mwanaume katika nyumba ya wageni ya super star hamugembe alitoweka na...
1 Reactions
191 Replies
38K Views
Baadhi ya wanawake ni viumbe wenye roho mbaya sana, unamnunulia simu mrembo wako kwa moyo mmoja tena ya gharama ila baada ya miezi kadhaa anakuja kukuambie ile simu kaibiwa kumbe ameuza ili tu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Niwaulize wanawake mliopo huku kwa niaba ya wanawake wa aina hiyo, je mnajua maana ama dhana ya kupendeza ama ni kufuata mkumbo? Unakuta mwanamke anajitahidi kuvaa kila fashion ikitoka haimpiti...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Jamaa amewahi kuishi na mwanamke kwa miaka sita. Walipokosana akaachana nae. Hivi sasa anataka warudiane kwani wote hawajapata wapenzi wengine baada ya kutengana kwa miaka mitatu. Je wanaweza...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari za mchana, Tukiwa tunaiendea wiki ya Pasaka yenye mapumziko ijumaa na jumatatu, kusafiri kunanihusu Kasie mie. Tumeshapanga wapi tutaenda kuburudika Pasaka hii, basi nasubiria siku ifike...
11 Reactions
177 Replies
10K Views
Amani kwenu wanafamilia! Miaka ya kumi na tisa, tisini, kurudi nyuma mambo yalikuwa nafuu sana kwenye mahusiano ukilinganisha na sasa! Halikuwa jambo la kawaida kumtema mtu mara moja baada ya...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Mimi nimeoa na sinaga tabia ya kuchepuka juzi kati nikasema ngoja nikumbushie ukware kidogo nikatokea ka binti bwana,kama kawaida nikakomaa nipate contact nikapewa mwanawane. Baada ya masaa...
10 Reactions
41 Replies
4K Views
Ukijaribu kuangalia muonekano wa wanawake wengi waliosoma sana hua ni wa kawaida kabisa. Wanawake wengi wanaharakati, wanasiasa na wenye nafasi kubwa serikalini ambazo wamezipata kwa merits zao...
5 Reactions
67 Replies
7K Views
Umekaa kwenye siti au umesimama ndani ya daladala jirani kabisa na mkaka lakini muda wote upo bize kuhama toka social network moja kwenda nyingine mpaka mwisho wa safari. Hata salamu hujatoa na...
11 Reactions
74 Replies
5K Views
Hili jiji ndio lina malaya wengi, ukiona umelala na mwanamke Dar hata kama ni mpenzi wako halafu anakuambia "mi ndo naondoka inakwaje" huyo ni malaya amekuja kwa ajili ya hela. Hakuna mademu...
18 Reactions
358 Replies
40K Views
Changamoto za ndoa, dada yupo na stress za kufa mtu. Iko hivi, kuna hawa wanandoa wameoana wana miaka karibia 2 sasa ya ndoa yao baba mwalimu wa secondary na mama mwalimu wa primary. Dada anadai...
2 Reactions
69 Replies
7K Views
Salaam wakuu Kwa uzoefu wangu nimefika point ya kuhitimisha dhana ya mapenzi is only temporaly na kamwe hakuna kitu ntakupenda hadi mwisho wa maisha yangu. Kiukweli nimefikia hitimisho hilo...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Amani iwe juu yenu Ni mwaka 1980 niliingia mkoani tanga nikitokea mkoani kilimanjaro ndio kwanza nimetoka kuoa mke wangu mzuri Dhumuni la kwenda tanga ni kufuata nazi za kibiashara kupeleka...
57 Reactions
203 Replies
30K Views
Natafuta rafiki wa kike anaejua computer vizuri. Ajue programming languages kama Php,java,c++ etc. Awe na uelewa wa mambo ya web designing. Mwenye uwezo wa kufikiri projects kubwa zenye maana...
0 Reactions
42 Replies
3K Views
Natafta mke mapema tu kwa ajili ya kuitafta pepo....awe anajua dini ya kiislam vzuri na Kama hajui awe tayari kukaa chini na kusoma..tusisumbuane kabisa juu ya kutekeleza amri Za mungu Ikiwemo...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wana jukwaa.. Kuna wakati Mungu anaamua kukutumia kama njia ya kumuadhibu mtu mwingine ambae Aliwah kumkosea Yeye au mtu.. Mfano : Unapata boyfriend /girlfriend unadate nae Kisha baada...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Hapo vip!! Kwa muda mrefu nimekuwa nikiifanyia uchunguzu tuhuma na moja lakini matokea Ya research yangu imenionyesha uwongo mkubwa sana katika tuhuma number moja kama inavyoonyeshwa katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Homa na mafua zilitawala mwili wangu kwa muda wa wiki 1, nikafanya vipimo nikapewa ushauri hatimaye nikaagiziwa dawa za kutumia, nikaenda duka la dawa (pharmacy) moja hapa mjini nzuri kununua...
3 Reactions
63 Replies
7K Views
Mke ni mama wa nyumbani, wana Toyota carina ambayo mume anaendesha kuendea kazini. Bibie anaamka saa 11.30 asubuhi kuosha gari . Mkoleni sikufundishwa haya na gari yenyewe hata kuendesha hajajifunza.
11 Reactions
106 Replies
7K Views
Back
Top Bottom