Natafuta mwanamke anae jua computer

rootadmin

JF-Expert Member
Feb 5, 2018
349
250
Natafuta rafiki wa kike anaejua computer vizuri.
Ajue programming languages kama Php,java,c++ etc.
Awe na uelewa wa mambo ya web designing.
Mwenye uwezo wa kufikiri projects kubwa zenye maana.

Kama upo unaweza ni PM.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom