Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mimi ni kijana ambaye navutiwa sana na wanawake kimapenzi. Lakini kuna tatizo tofauti hapa 1. Sioni matiti/maziwa kama kivutio kwangu cha mapenzi au muonekano wa kunisisimua na kuteka hisia...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni mpenzi wangu niliyekua naye tangu mwaka jana mwezi wa 12 ila baada ya kuchokana akaniacha huku nikiwa bado nampenda baada ya kuumia na kupona nikaamua kumove on. Yeye alidai namtesa kwasababu...
5 Reactions
98 Replies
7K Views
Najua wengi mtanishambulia na wengine kunitukana ( mnitukane tu mm ndo nliyatafuta sasa yananirudi) ila niseme tu ili moyo wangu ubakie huru. Sijui alichonipa huyu mschana kwa umbiel kajaaliwa...
0 Reactions
43 Replies
9K Views
Sijui shida iko wapi kuhusu malezi na uangalizi wa watoto wa kike. Watoto wa kike wanaanza kutumika wakiwa wadogo sana. Ni ajabu na inashangaza kati ya watoto 10 wa kike wenye miaka 14, utakuta...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Wapendwa nimesoma hiki kisa nikaona sio vibaya kushare.Kwa wale wenye Ndoa, kuna ambae amewahi kuwa kwenye situation ya namna hiyo? Je ulisolve vipi? Inaanza hivi... Nimeolewa miaka 7...
3 Reactions
61 Replies
9K Views
Eeee mungu wangu Nime Kwisha Mimi jaman.. Ntaiweka wapi sura yangu Katu siku dhania kua yatatokea haya Leo.... Me nilimpa penzi kwakua ilikua n siku ya furaha na pia kampani ya kunipoteze...
1 Reactions
53 Replies
4K Views
http://jukwaalaafya.ml/2018/01/01/tiba-ya-uume-kulegeaerectile-dysfunction-kupitia-lishe/
2 Reactions
19 Replies
6K Views
Mr Tunguli vs Cha mdeko. Gentamycine vs Shunie. Mikono nyuma vs Hajat.
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Mdada wa mjini kutwa kushinda mitandaoni kupiga selfie na kuzitupia Ana miliki lisimu la milioni,mfukoni hana hata mia Njaa ikimpiga anaanza kusumbua watu wampe Mara elfu 2 Mara elfu 5 yani...
10 Reactions
53 Replies
5K Views
Najua wengi mtanishambulia wengine mtanitukana, tukaneni tu ila mjie mapenzi ndo yanafanya dunia iwepo, ila niseme tu ili moyo wangu ubakie huru. Sijui alichonipa huyu mschana kwa umbiel kajaaliwa...
1 Reactions
4 Replies
9K Views
Habarini ndugu, Mimi ni mwanamke ambaye hivi karibuni mwanaume wangu anataka akajitambulishe kwetu pamoja na kunivisha pete sasa tatizo ni kwamba ananiambia anipe hela nikanunue mwenyewe na mimi...
2 Reactions
46 Replies
8K Views
Wanawake wengi wamekuwa wakijifungua kwa upasuaji siku za hivi karibuni, sijui tatizo likowapi ila almost kila mwanamke sikuizi nikimuuliza anasema kajifungua kwa upasuaji, ni kuwa hulinda ladha...
2 Reactions
195 Replies
18K Views
Wanawake hasa hivi visichana alimaarufu namba "d" wamezidii yani uki show interest tu Mara oooh bby ujue Kodi yangu imeisha,Mara sijui gari yangu inajitaji service ...ujue bby Kuna nguo...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Hello JF, They say ultimate goal of our existence is reproduction/passing our genes to offsprings,.... sasa because fertilization occurs internally ,only women know the paternity of their...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Jamani nauliza mimi ni mwenyeji na mzawa wa Tanga tangu nasoma(boarding) huko bara nasifiwa sana eti mimi mtu wa Tanga lazima nitakuwa mwingi wa mahaba(labda na uchawi pia japo sipendi kutaja sida...
3 Reactions
85 Replies
17K Views
1Usimwonee wivu mke umpendaye; utakuwa umemfundisha namna ya kukudhuru. 2Usimwachie mwanamke ukuu wako, la sivyo atakutawala kabisa. 3Usifuatane na mwanamke wa tabia mbaya,9:3 Kiebrania: Mke …...
5 Reactions
49 Replies
6K Views
Yangu boy wangu aniache nimekuwa mtu wa hasira yaani unaweza nisemesha vizuri tu lakini nikakujibu vibaya Nashinda tu nimelala nikichoka kulala naingia bafuni nakaa huko wee natoka nimeridhika...
6 Reactions
106 Replies
9K Views
Habari zenu wapendwa, Samahani nina jambo ambalo nahitajika ushauri wenu. Mimi nipo kwenye mahusiano ya kimapenzi na dada mmoja hivi, mahusiano yetu yalianza mwaka jana mwezi wa 07. Mwaka...
13 Reactions
167 Replies
14K Views
Dada kama unaona upati mume wa ndoa dawa yake ni 1:ama mtaa nenda kaishi mtaa mwingine au mkoa mwingine why Sababu hapo mtaani umegawa sana papuchi ivyo umeharibu CV kila anayetaka kukuchumbua...
7 Reactions
44 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu. Mimi ni kijana kama mnavyoona avatar yangu na wahenga walisema ujana ni maji ya moto. Kipindi nikiwa Kigamboni nilikua na mahusiano na mdada mmoja ambae anatokea Iringa...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Back
Top Bottom