jangala
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 1,583
- 2,385
Habari wana jukwaa..
Kuna wakati Mungu anaamua kukutumia kama njia ya kumuadhibu mtu mwingine ambae Aliwah kumkosea Yeye au mtu..
Mfano :
Unapata boyfriend /girlfriend unadate nae Kisha baada ya muda unamuacha...Japo utalaumiwa, but don't feel Guilty coz Ilipaswa utumike Kama njia ya kulipiza au kumuadhibu muhusika bila ww kujijua..
So Rudi kwa mola wako utubu ili akutumie Ktk mema na sio kuadhibu watu Maana utalaumiwa na pengine utashindwa kuhimili lawama za wanadamu uliotumika kwao ...
Ni Mtazamo wangu tu...