Natafta mke

abousumaiya

Member
May 11, 2017
28
19
Natafta mke mapema tu kwa ajili ya kuitafta pepo....awe anajua dini ya kiislam vzuri na Kama hajui awe tayari kukaa chini na kusoma..tusisumbuane kabisa juu ya kutekeleza amri Za mungu
Ikiwemo kuswali vipindi vyote vitano......na stara pia ambayo imeruhusiwa kwenye dini

Awe anawaza sana juu ya mauti yake na asiwe amelewa na dunia
Awe mwenye Tamaaa haswa ya kumjua mungu

Zinaaa na kukutana kimwili wala usithubutu kuzungumzia hapa kabla ya ndoa

Kigezo kikubwa ni dini ...degree ..Sjui masters haviangaliwi kabisa

Ata Akiwa mkristo Akiwa tayari kucomvert hamna shida kabisa

Tafadhali pm inasubiri
 
Wa hivyo hapatikani kwenye mitandao
Mkuu, siku za Nyuma watu walitafutana kwa magazeti na baadae kwa Radio. Nakumbuka haswailikuwa Radio One na RFA...Na Wakaoana na ndoa zikadumu tu. Kwa sasa kuna hii Mitandao, Mitandao ya sasa ni kuimarika tu kwa Maendeleo ya Sayansi na Teknolojia.....Ni njia mojawapo muhimu ya kumpata mwenza...Usichukuwe sample za wachache wasio na nia njema then uka draw Conclusion....Wapo hao wachache walio serious.....Facebook pamoja na Makando kando yake kuzidi mara mia JF, Lakini bado Mitume,Manabii, Wachungaji n.k wanatumia Facebook kuhubiri Injili...
 
Kwa anayehitajika mkuu sidhani kama ana muda wa kupita humu... Kila mda awe anawaza kifo chake dah..
 
Ukiwaza kifo utajileta Karibu sana na mungu
Usipopata humu ndo ujue sio rizki yako just trying
Tu na kuacha fungu la mungu lifanye kazi
 
Natafta mke mapema tu kwa ajili ya kuitafta pepo....awe anajua dini ya kiislam vzuri na Kama hajui awe tayari kukaa chini na kusoma..tusisumbuane kabisa juu ya kutekeleza amri Za mungu
Ikiwemo kuswali vipindi vyote vitano......na stara pia ambayo imeruhusiwa kwenye dini

Awe anawaza sana juu ya mauti yake na asiwe amelewa na dunia
Awe mwenye Tamaaa haswa ya kumjua mungu

Zinaaa na kukutana kimwili wala usithubutu kuzungumzia hapa kabla ya ndoa

Kigezo kikubwa ni dini ...degree ..Sjui masters haviangaliwi kabisa

Ata Akiwa mkristo Akiwa tayari kucomvert hamna shida kabisa

Tafadhali pm inasubiri
mrejesho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom