Mapenzi ni hisia nzuri zisizodumu

Mapenzi ni hisia nzuri zisizodumu

doppla2

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
1,393
Reaction score
1,462
Salaam wakuu

Kwa uzoefu wangu nimefika point ya kuhitimisha dhana ya mapenzi is only temporaly na kamwe hakuna kitu ntakupenda hadi mwisho wa maisha yangu.

Kiukweli nimefikia hitimisho hilo baada ya kujionea mwenyewe na kuona kwa wengine. Uwepo wa wanandoa wengi waliotumia madhabahu kutamka wakiwa wanamaanisha kuwa wewe ni wangu wa milele , ndo kundi kubwa linaloweza thibitisha nachokiandika hapa, kuwa kitu mahaba ni hisia za muda tu, na nyakati na majira udhihirisha hilo pale unapokutana na mwingine na kujikuta umesahau haadi zote ulizowahi ahiidi mbele ya mpenzi wako au ndg na jamaa.

Rate ya ndoa kusambaratika ni ushaidi usioacha shaka na dhana ninayoiongelea urafiki wa boyfriend and grlfriend unaozama na kutitia kila dk ni ushahidi wa dhana hii

Cheating zinazoendelea guest, lodge, chini ya miti, kwenye magari na hata makabulini mida hii unaposoma uzi huu ni shahidi wa dhana hii ya mapenzi ni hisia za muda tu, ukipata mbadala kwisha na wala hutokaa ukumbuke wendawazimu huo.

Anyway mashujaa kwangu ni wale wanaovumilia kuishi na mtu ambao upendo umeshakatika ila mazingira /circumference tu ndo zinawaweka pamoja.
 
Vyema kuchukua hatua mapema, usiombe ukazama penzini
 
Kama una mtu ambae si sahihi kwako inakuwa hivyo ila ukiwa na mtu ambae kila kitu ambacho unakipenda kipo japo asilimia 80 na kuhakikishia hutojuta ila pole kama yamekukuta
 
Kweli kabisa wala hujakosea mapenzi ni hisia za mudaa tu ila baada ya hapo mnaishi kwa mazoeaa maisha yanasonga
Thanks for complement...
Ongezea uzoefu mama
 
Hapa sasa sisi wakware au mafisi ndio tunaumia kichwa na hatutaki kusikia kuoa
 
Kweli kabisa wala hujakosea mapenzi ni hisia za mudaa tu ila baada ya hapo mnaishi kwa mazoeaa maisha yanasonga
I beleive kuna factor nyingi zinazofanya mpaka mahusiano kufikia hapo binafsi naamini love ni on and off feelings kuna kipindi ziko down kuna kipindi ziko up. Swali ni kwamba pale love feelings zinapokuwa down wanandoa au wahusika kwenye mahusiano wali fanya bidii gani kuirudisha ile hali au kuamsha zile spark za mapenzi?
 
Salaam wakuu

Kwa uzoefu wangu nimefika point ya kuhitimisha dhana ya mapenzi is only temporaly na kamwe hakuna kitu ntakupenda hadi mwisho wa maisha yangu.

Kiukweli nimefikia hitimisho hilo baada ya kujionea mwenyewe na kuona kwa wengine. Uwepo wa wanandoa wengi waliotumia madhabahu kutamka wakiwa wanamaanisha kuwa wewe ni wangu wa milele , ndo kundi kubwa linaloweza thibitisha nachokiandika hapa, kuwa kitu mahaba ni hisia za muda tu, na nyakati na majira udhihirisha hilo pale unapokutana na mwingine na kujikuta umesahau haadi zote ulizowahi ahiidi mbele ya mpenzi wako au ndg na jamaa.

Rate ya ndoa kusambaratika ni ushaidi usioacha shaka na dhana ninayoiongelea.

Urafiki wa boyfriend and grlfriend unaozama na kutitia kila dk ni ushahidi wa dhana hii

Cheating zinazoendelea guest, lodge, chini ya miti, kwenye magari na hata makabulini mida hii unaposoma uzi huu ni shahidi wa dhana hii ya mapenzi ni hisia za muda tu, ukipata mbadala kwisha na wala hutokaa ukumbuke wendawazimu huo.

Anyway mashujaa kwangu ni wale wanaovumilia kuishi na mtu ambao upendo umeshakatika ila mazingira /circumference tu ndo zinawaweka pamoja.
Umekosea kaka mapenzi ni kama AC current inavyo flow kwenye waya, kuna low wave na High wave. Thats why mwanzoni mapenzi huwa high baada ya muda huwa low, kama mki fight for love kwa pamoja mnaweza kufanikiwa kuamsha sparks za mwanzoni, ila habari mbaya ni kwamba hisia hizi zikiwa low most people hukumbia hata kuna chance ya kuyarudisha yale mapenzi.

To me nasema ina depend uko na nani kwenye mahusiano either mnapendana na kuheshimiana au kiazi.
 
Salaam wakuu

Kwa uzoefu wangu nimefika point ya kuhitimisha dhana ya mapenzi is only temporaly na kamwe hakuna kitu ntakupenda hadi mwisho wa maisha yangu.

Kiukweli nimefikia hitimisho hilo baada ya kujionea mwenyewe na kuona kwa wengine. Uwepo wa wanandoa wengi waliotumia madhabahu kutamka wakiwa wanamaanisha kuwa wewe ni wangu wa milele , ndo kundi kubwa linaloweza thibitisha nachokiandika hapa, kuwa kitu mahaba ni hisia za muda tu, na nyakati na majira udhihirisha hilo pale unapokutana na mwingine na kujikuta umesahau haadi zote ulizowahi ahiidi mbele ya mpenzi wako au ndg na jamaa.

Rate ya ndoa kusambaratika ni ushaidi usioacha shaka na dhana ninayoiongelea.

Urafiki wa boyfriend and grlfriend unaozama na kutitia kila dk ni ushahidi wa dhana hii

Cheating zinazoendelea guest, lodge, chini ya miti, kwenye magari na hata makabulini mida hii unaposoma uzi huu ni shahidi wa dhana hii ya mapenzi ni hisia za muda tu, ukipata mbadala kwisha na wala hutokaa ukumbuke wendawazimu huo.

Anyway....mashujaa kwangu ni wale wanaovumilia kuishi na mtu ambao upendo umeshakatika ila mazingira /circumference tu ndo zinawaweka pamoja.

Ni kweli pasipo na shaka.
 
Mapenzi ni hisia za muda mfupi sana, sasa sijui tufanyeje
 
Penzi la dhati hudumu milele na haliendeshwi kwa mazoea kiongozi.
 
Back
Top Bottom