Unavyo mfikiria sivyo akufikiriavyo!

Unavyo mfikiria sivyo akufikiriavyo!

Manton

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
1,167
Reaction score
1,544
Amani kwenu wanafamilia! Miaka ya kumi na tisa, tisini, kurudi nyuma mambo yalikuwa nafuu sana kwenye mahusiano ukilinganisha na sasa! Halikuwa jambo la kawaida kumtema mtu mara moja baada ya kukutana nae kwa mara ya kwanza. Ila wakati huu, ni kama kutosa sarafu bahari ukatarajia ielee juu kama meli, mashua ama mtubwi! Unavyo mfikiria mtu kwa mema usitegemee naye atakufikiria hivyo hivyo! Ndo maana hakuna tena mapenzi yamebaki magunzi! Ya nini kujipa sonona kwa mtu asiye kuona wa maana baada kulishana tunda?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom