Tumeanza kuwasiliana tu anadai ana njaa

Tumeanza kuwasiliana tu anadai ana njaa

Mtoto wa kijiji

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2017
Posts
319
Reaction score
185
Mimi nimeoa na sinaga tabia ya kuchepuka juzi kati nikasema ngoja nikumbushie ukware kidogo nikatokea ka binti bwana,kama kawaida nikakomaa nipate contact nikapewa mwanawane.

Baada ya masaa machache naona text,mambo? tukaanza kuchati sitaeleza sana maongezi yetu lakini kilichonishangaza mara naona text nina njaa Hee,nyie wadada,hebu ficheni vitabia vyenu vya ajabu kujuana tu siku moja unataka kuleta mambo ya kupigana mizinga loooo,acheni ujinga huo.
 
Sasa ulitaka katika kujaribu huo Ukware huyo uliyemfuata awe sawa na mkeo.

Pambana na ukware wako wacha kulalamika sababu wanawake walio wengi wakishajua una mkeo wako kizinga lazima na saa nyingine unakuta hicho kizinga hakimaanishi bali ni njia tu ya kukupiga na chini sababu anajua hapo lazima urudi kwa mkeo ukatulie.
 
Sasa ulitaka katika kujaribu huo Ukware huyo uliyemfuata awe sawa na mkeo.

Pambana na ukware wako wacha kulalamika. Sababu wanawake walio wengi wakishajua una mkeo wako lazima akupige kizinga na saa nyingine wala unakuta kizinga hakimaanishi bali ni njia tu ya kukupiga na chini sababu hapo lazima urudi kwa mkeo ukatulie.
Ukware ni nini rafiki?
 
Hahahaaa. Mbona unanifanyia hivyo rafiki yako lakini. Baadae pitia home basi ninayo kamusi tuangalie nini linamaanisha teh

Mie nimelitumia tu kama alivyolitumia Mtoto wa kijiji. [emoji85] [emoji85]
Hahah!! Huna lolote wewe najua tatizo ni nini ila ngoja nikuache najua wapi pakukupata [emoji16]
 
Mm nimeoa na sinaga tabia ya kuchepuka.juzi kati nikasema ngoja nikumbushie ukware kidogo.nikatokea ka binti bwana,kama kawaida nikakomaa nipate contact.nikapewa mwanawane.baada ya masaa machache naona text,mambo? .tukaanza kuchati.sitaeleza sana maongezi yetu lakini kilichonishangaza mara naona text.nina njaa.Hee,nyie wadada,hebu ficheni vitabia vyenu vya ajabu.kujuana tu sku moja unataka kuleta mambo ya kupigana mizinga.loooo,acheni ujinga huo.
Mkuu ukiona hivyo na wewe omba papuchi chapu chapu. Acha ukumbavu wewe.
 
Back
Top Bottom