Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,087
- 5,900
Hapo vip!!
Kwa muda mrefu nimekuwa nikiifanyia uchunguzu tuhuma moja lakini matokea Ya research yangu imenionyesha uwongo mkubwa sana katika tuhuma number moja kama inavyoonyeshwa katika attachment hapo chini.
Binafsi nilikutana na mahandsome wengi chuo.. and pia kuna marahisi na wanasayansi wengi mahandsome.
So, hii hoja ya kusema mahandsome ni empty set naona ni defense mechanism ya wanawake wabaya ambao nimara chache sana kuwa na wanaume handsome kutokana na hadhi, pia ni defense mechanism ya wanaume wabaya ili waonekane bora na wanawake kwa sababu anajua hawezi kushindana na handsome.(kunamsemo unasema a beautiful woman is powerful, pia handsome man is powerful... View attachment 727131 View attachment 727131