Ukiwa na urafiki na mwanamke kubali yafuatayo

CUBICBOY

JF-Expert Member
Oct 29, 2012
306
223
Habarini wakuu haya ndio mambo mengi nime experience kwa hawa dada zetu ukiwa Rafiki yao kuna mambo lazima ukubaliane nao
1.kuomba vocha
2. Kuomba viehela vidogo vidogo
3. Kuagiza vitu kama chipsi na kazalika ila hela juu yako
4. Mara nyingi utumia maneno matamu kukulainisha ukubali
5.ukiomba appointment kwa mfano outing akimwambia yuko bize ujue kinachofuatia kibomu
6.mwisho kama hutatoa msaada kwao hujue ndo unapoteza mara nyingi wako kimaslahi zaidi
 
Kabisa hiyo tabia wanayo,na mwisho was Siku unashindwa kuvumilia inabid uzoze tuuu,maaana hakuna namna
 
Habarini wakuu haya ndio mambo mengi nime experience kwa hawa dada zetu ukiwa Rafiki yao kuna mambo lazima ukubaliane nao
1.kuomba vocha
2. Kuomba viehela vidogo vidogo
3. Kuagiza vitu kama chipsi na kazalika ila hela juu yako
4. Mara nyingi utumia maneno matamu kukulainisha ukubali
5.ukiomba appointment kwa mfano outing akimwambia yuko bize ujue kinachofuatia kibomu
6.mwisho kama hutatoa msaada kwao hujue ndo unapoteza mara nyingi wako kimaslahi zaidi

Sio lazima uwe na mwanamke maskini
 
Unazungumzia wanawake au visichana?
 
Back
Top Bottom