This is a beautiful woman

This is a beautiful woman

We mkalimani mkuje kila siku?
Jiongeze gugo [emoji51]
Gugo wamenikalimia hivi
================
Mwanamke mzuri ni ambaye ana kazi nzuri, mwenye ujuzi na mwenye ujuzi, ni tajiri na hajawahi kuwa katika uhusiano na ni virigin ingeweza kusababisha kengele ya wanaume kuwa kitu kinachojitokeza juu yake
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbavu zangu halafu nimeshibaaa ujue
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapo kwenye kengele ya mwanaume nimecheka sana
Bado naifikiria hii kengele iko wapi. ..na ikijitokeza juu yake ?

Kweli Mkalimani njoo utusaidie gugo inazidi kutupoteza.
 
Gugo wamenikalimia hivi
================
Mwanamke mzuri ni ambaye ana kazi nzuri, mwenye ujuzi na mwenye ujuzi, ni tajiri na hajawahi kuwa katika uhusiano na ni virigin ingeweza kusababisha kengele ya wanaume kuwa kitu kinachojitokeza juu yake

kengele kinachojotokeza juu yake,make me think,😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom