Ni muda upi sahihi kwa mwanaume kuoa.?

Ni muda upi sahihi kwa mwanaume kuoa.?

Multpurpose

Senior Member
Joined
Mar 23, 2018
Posts
123
Reaction score
78
Habari, ni thread yangu ya kwanza humu. naomba majibu bila kutoka nje ya mada tafadhali.

Unaeza kuta mwanaume ana jitosheleza karibia kila mahitaji muhimu ana nyumba, ana kazi na anae mpenzi ambae yupo nae kwa muda mrefu tu, lakini likija suala la kuoa anakwambia bado yupoyupo. Hivi huwa munaangaliaga nini hasa?
 
Kuoa is the only act to leverage one's life. If you marry you will always get MORE from LESS
- free sex
- free advice
- free laundry service
- free well cooked food
- respect (baba mwenye nyumba, mama mwenye nyumba)
- Children
- indeed utatumia pesa na ku sacrifice uhuru wako but unatengeneza maisha

Usipooa/olewa
- utakuwa na uhuru wa kuruka ruka na kupoteza mda na pesa zaidi bila output yoyote.. mwishowe ni frustration tu na baadae uje kuonea wivu waliojenga familia zao
 
Miaka 18 n muhimu kijana kuoa! Kwa wale wa kijijin
But kwa wale wa mijin miaka 24
Lakin kwa wale ambao wanategemea mission town huwa hawaoag wao n kuzaa na kutelekeza!
Wale watt wa mama morn mpaka night wanategemea home huwa wanao na miak 32+...
Tena oa yao n pale watakapofiw na wanaowategemea or kupat skendo za kudate na wapanganj or vtt
 
Baba yangu alimwoa mama akiwa na miaka 16 na wakat huo mama akiwa na miaka 13
Walioana baada ya baba na mama kufumwa wakifnya tendo zur kichakan
Wakt huo baba alikuwa anachunga kijijn mbuz hajuh hata shule na mama alikuwa kaz n kuchota maji!!
Ndoa yao ilipitia misukosuko mingi Sana'a!
Coz wote walikuwa watt also walikuwa hawana elimu sahihi!
Babu yangu wa baba ikabid amkabidh baba eneo(zaman maeneo yalikuw kujichagulia)
Also akampa na mbuzi 2 na ngombe 3 kondoo 4 punda 1 na kuku 5!
Lengo LA kumpa hao n kujitegemea!!
Mmh baba alihangakka Sana'a! Hatmaye mifugo ikakubali
Kwa kuwa alikuwa na ndoto za kusoma ikabid asome kisomo cha zaman!(mama alikuwa mdog bado na unajua zaman walikuwa wanachelewa shika mimba)
So baba akaenda shule na kumwacha mama home!
Mzee alipomaliza 4m 4 tayr alikuwa kashazaa watt 2
Ili nifupishe story mzee hatmaye aliajiriwa na kuwa na maisha mazuri Sana'a na upendo na mama!

History hii alinipa baba wakat nilipikumbwa na skendo ya kuzaa na mwanafunz wa shule jiran kipind nipo 4m 2!!!
Japo huyu niliyezaa naye sijabahatika kumwoa but tunahudumi MTT wetu kwa umoja!
Na kwa mapenz ya dhati!!!
Mkitaka mwendelezo ntasema
 
So ndoa n process inategemea huo mchakato utakufikia ukiwa na Nan or ukiwa wapi?
Asilimia kubwa ya wapenx huwa hawaoan! Japo wakiwa kwenye mahusiano upeana ahadi kedekde za kuoana!!
Tena now dayz wanaume wajanja uja na gia ya kusema ntakuoa na kuanxa kukuita wife!
But akitaka kuo mmmh in kama suprize!!

So mleta maada tambua ndoa c kitu cmple kama unavyofikir!
Binafs mke wangu hata sijuh nilmpataje!/nilikuwa na plan za kumwoa niliyemzalisha but ikashindikana!
Nikawa na malengo nimwoe jack ikashjndikana nikajikuta n mefall kwa MTT mwingine kabisa ambaye sikutarajia!!!
Nampenda na yeye ananpenda!
Na hiyo ndo siri ya ndoa! Pata MTU ambaye mnapendana ukisema umwoe mwajuma kisa anatako kubwa tambua akiugua malaria tako litapukutika utshangaa unamchukia sasa!
Also ukisema uolewe na James kisa ana gari tambua gari litapata ajal sasa cjuh itakuaje!

Also ndoa n kifungo cha NAFSI
 
Usichukulie poa maamuzi ya kumkabidhi mtu uhuru, afya, heshima na mali zako. Usichukulie poa kabisa.
na inapotoea mtu anaishi na mpenzi kwa zaidi hata ya miaka 10 kunakuwa na uafadhali gani hapo?
 
na inapotoea mtu anaishi na mpenzi kwa zaidi hata ya miaka 10 kunakuwa na uafadhali gani hapo?
Unakaa na MTU miaka 10 lakin hata kukuoa hajakuoa (Japo kiserikal inahesabika ndoa)
Yaaan mda wowote anaweza kukuacha!
Kuna jiran yangu alimwumizaga MTU wake hivi hivi!
Walikaa wote kwa miaka zaid ya 20 coz walizaa na watt kabisa!
But yule jiran akatangaza ndoa tukadhan anamwoa huyo anayekaa naye matokeo yake yule aliyezaa naye alaifukuzwa akaletwa mwingine aliyeolwea!
Na k logic inaletaa maana!
 
na inapotoea mtu anaishi na mpenzi kwa zaidi hata ya miaka 10 kunakuwa na uafadhali gani hapo?
Kama umekaa naye miaka 10 tayari ushaolewa, vinginevyo mngekuwa mshachana. Muhimu mwambie apeleke mahari kukujengea heshima. Ndoa majaliwa. Wanaume ili tuoe siku hizi hadi tulazimishwe. Kama hakuoi komaa na mama yake. Atamlazimisha hadi aoe..Kaa karibu na ndugu zake. Ila nmependa ID yako.
 
Habari, ni thread yangu ya kwanza humu. naomba majibu bila kutoka nje ya mada tafadhali.

Unaeza kuta mwanaume ana jitosheleza karibia kila mahitaji muhimu ana nyumba, ana kazi na anae mpenzi ambae yupo nae kwa muda mrefu tu, lakini likija suala la kuoa anakwambia bado yupoyupo. Hivi huwa munaangaliaga nini hasa?
kuoa mapema ni sawa na kutoka disko saa 4usk
 
Back
Top Bottom