dada tuambieni mume mlevi vs mume malaya yupi bora.

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
4,451
9,373
Habari za asubuhi wadau,
Natumai mpo salama na mnaendelea na majukumu ya kujenga taifa na mahusianoNirudi kwenye mada hapa nipo kwenye usafiri ila imezuka mada hii wamama wawili wanavutana mmoja anasema bora mume mlevi unajua kabisa baba furani yupo bar na unaweza jua bar ipi anapendelea, ila mume malaya utambulia kuona watoto tu unaletea kila siku anakwambia hana pesa mnaweza kuishia kukopa tu ukidhani mwenzako kweli hana pesa kumbe pesa anapata zinaishia kwa bi ndogo usiye mjua

Eti dadaz ebu tuambieni ule ukweli tunajua ulevi siyo dili wala umalaya siyo dili ila imetokea sasa utachagua yupi mlevi au malaya
 
Mmh. Hapo hakuna mwenye nafuu sababu huo ulevi kwa upande fulani ndio chanzo cha umalaya yaani wengine wakilewa ndio wanakuwa wepesi kutongoza yaani hawawi na aibu hata chembe.
 
Ulevi na umalaya ni vitu viwili tofauti

Ulevi ni matokea ya mtu kuwa na msongo wa mawazo either kutokana na huyo huyo mke au mausiano kwa ujumla so ulevi ni kama relief

Umalaya ni tabia mbaya ambayo mtu anaiendekeza kutokana na tamaa za ngono

After all hata mwili unahitaji na unajitengenezea wenyewe alcohol yake na ndio maana mtu ukishiba lazima utasinzia(to lower your stress) na yale ndio matokeo ya mwili kujitengenezea alcohol yake
 
Kijana uyoo mwenye saut mbaya mbaya alikua anapenda kulewaa(in lufufu voice)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom