agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,640
- 9,414
Eti wakaka kumsave kwenye simu mpenzi wako kwa majina ya kimahaba ni ushamba na unaonekana bwege? .
Kwani ukimsev sweety ,love na majina yote mnayoitana mkiwa wawili kuna tatizo?Ni ushamba sana.
Bora umsevu jina hata la konda wa Daladala, mfano "uso wa mbuzi"
Heeee.Sio ushamba ,niliwahi kua na mwanamke akiwa na hasira anawaka kweli ,, akipoa anapoa kwel kweli .
Nikaamua kumsave " My Frozenfire"[emoji23][emoji23] nayeye alipenda sanaaa iyo nickname .
Uso wa Mbuzi linapendeza zaidi.Kwani ukimsev sweety ,love na majina yotenayoitana mkiwa wawili kuna tatizo?
Kwanini jina LA mpenzi wako lisiwe tofauti na wanawake wengine?Inategemeana mwingne anapenda sana mwingne kawaida sana
Ila mapenzi yanakuwa matamu zaidi unapoyaonyesha wazi bila kificho ....Kila mtu na mapendeleo yake
Mi namsevu jina lake tu as long as nampenda na anajua basi hivyo vya kuseviana kimahaba sio ishu sana
Maoenzi yako moyoni sio jina, kama anitwa Zubeda nikamsevu kwa jina lake haiondoi upendo kwake ,mambo mengne ni mtazamo tuKwanini jina LA mpenzi wako lisiwe tofauti na wanawake wengine?
Hahah wangu nilimsevu drama queen, alikuwa anapenda sana kunipigia kelele. Ugomvi kila akiniona tu ingawa kuna mda ana chill tunakuwa na furaha ila hazipiti siku 2 kakiwasha tena. Alivyojua alilalamika huyoo ila nikamchana live anazingua.Sio ushamba ,niliwahi kua na mwanamke akiwa na hasira anawaka kweli ,, akipoa anapoa kwel kweli .
Nikaamua kumsave " My Frozenfire"[emoji23][emoji23] nayeye alipenda sanaaa iyo nickname .
Hahahah safi sana ,alafu raha ya izi nickname ziwe zinaendana na tabia au mwonekano wa She wako.Hahah wangu nilimsevu drama queen, alikuwa anapenda sana kunipigia kelele. Ugomvi kila akiniona tu ingawa kuna mda ana chill tunakuwa na furaha ila hazipiti siku 2 kakiwasha tena.
Inaletaga mizuka sana hata ya kupokea simu, nakumbuka siku nilitaitiwa na ma Pot/Mwela nikawa nampigia simu antumie hela flani niitoe niwahonge jamaa waniachie.Hahahah safi sana ,alafu raha ya izi nickname ziwe zinaendana na tabia au mwonekano wa She wako.