Unadhani sababu itakuwa ni uchawi tu?Kwa tunaosafiligi kwenda Pemba mtakuwa mashahidi wa hili, ukifikia hotelini huna sababu ya kufunga mlango, wengine huwa wanaacha laptop kwenye kodido tu na hakuna wa kuiba.
Njoo nikuroge... [emoji23] [emoji1] [emoji119]Sipendi kuamini uchawi