Wanawake angalieni hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake angalieni hili

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Raia Fulani, Jul 30, 2010.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Kuna hii biashara mpya ya vijana wapaka rangi kuongeza huduma. Zamani ilikuwa ni kupaka kucha rangi tu. Sasa hivi wanapakata miguu ya wanawake zetu eti wanaiosha kwanza. Safari moja huanzisha nyingine. Hawa vijana watafungua vibanda kama wamasai na yatakayoendelea huko Mungu atajua. Kwa ninavyoelewa udhaifu wa wanawake na mahitaji yao ambayo hawatimiziwi ipasavyo, patachimbika. Wanaume anzeni kuwakataza wenza wenu kusuguliwa miguu na hawa vijana kwani hatua itakayofuata hamtaipenda. Hajashindwa kujisugua mwenyewe
   
 2. M

  Mutu JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  unayosema si mzaha ,ni jambo la kufanyiwa angalizo
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Jul 30, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  sidhani...kama mtu wa kufanya ufirauni atafanya tuu....kila mtu ana tabia yake na haiba yake.....kama umempenda mpaka rangi umempenda tu hata bila kupaka rangi kwake
   
 4. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #4
  Jul 30, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Tatizo wanawake wanapinga na wanaume wanaafiki. Wanawake wanapenda kwa mazoea na ucheshi wa mhusika. Bora kuepusha hayo mazingira
   
 5. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #5
  Jul 30, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  asi rangi tu
  hakuna tabu jamani
  -na wauza magenge je?mpemba muuza duka?haus boy??????threat zipo nying ni yeye kuamua n by the way WANAWAKE SI WATOTO WADOGO KUSEMA WANAKURUPUKA TU WANA AKILI KM NYINYI WANAUME NA WANAJUA WANACHOFANYA!!
  - u as a man u have to fulfil yr duties then u wl c no 1 can cme across to ya wife ...lakin km wewe mvivu WA KILA KITU basi utakuwa unajishtukia kwa kila kitu ata kakake pia unaweza mfikiria vbaya.........KUWA MWANAUME KAMILI!!!!!!
   
 6. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #6
  Jul 30, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,481
  Likes Received: 2,072
  Trophy Points: 280
  kuna mmoja huku mtaani kwetu wanamwita kisigino yeye anapaka rangi huku anakuchezea kisigino nasikia anapendwa kichizi na siku akimpaka m/mke rangi bila kumchezea kisigino mtu anaweza kugoma kulipa
   
 7. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #7
  Jul 30, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  si bora muuza genge hakuna physical contact? huyu wa rangi atawasugua hadi mapaja. ngoja wafungue vibanda vyao

  hayo ndo muendelezo wa madhara yenyewe. walikuwa wakipaka kucha tu sasa wanachezea na vitu vingine
   
 8. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #8
  Jul 31, 2010
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  anza kunifanyia wewe ili hata nikienda kwa mpaka rangi nione ni ya kawaida tuu.
   
 9. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #9
  Jul 31, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,441
  Likes Received: 5,692
  Trophy Points: 280

  wacha watu wale starehe nani kakwambia wamasai awataki raha au hao wapaka rangi hakuna miapaka ya raha atakaeingia lindoni mwenyewe atatoka mwenyewe....
   
 10. A

  Audax JF-Expert Member

  #10
  Jul 31, 2010
  Joined: Mar 4, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ahahaa-huu wivu-timiza wenu wanaume please
   
 11. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #11
  Jul 31, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mpendwa yamekusibu yepi leo? :shock::shock:
   
 12. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #12
  Jul 31, 2010
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  hehehehe...watu weweeeeeee! Preta zis is 'straight to the point!' yaani calling spade a spade! ha ha ...
   
 13. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #13
  Aug 1, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Hii haiko sawa!
  Kupakwa rangi tu ndio kulete mengine?.... Mtu aachwe huru kutumia akili na utashi wake. Mtu mzima hawezi kuwekewa masharti kwa vile ati kuna insecurities...............utaweka masharti kila mahali? Njiani asitembee, asiende kazini wala sokoni wala dukani...wala hospitali..wala mazikoni, ...... the list is endless...
   
 14. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #14
  Aug 1, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Tatizo wanawake wengi hawana utashi wao. Kuna mdau mmoja kasema hapo juu kuna mtu anaitwa kisigino kiasi asipowakuna wanawake visigino wanatishia kutolipa. Kama hujawahi kushawishika dadaangu wos basi ni wewe, pia ujitazame na mwonekano wako
   
 15. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #15
  Aug 1, 2010
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,076
  Likes Received: 1,112
  Trophy Points: 280
  Naona mmesahau kidogo hii kitu mliyosoma mkiwa form one
  (characteristics of living things) ya kwamba "they respond to
  stimuli" . Mfano mmea hufuata mwanga, au nikiwa na minya
  ndimu na wewe ulo karibu udenda lazima utakutoka. Hii
  hutokea kwasababu viumbe hu-respond to stimuli.


  Huwezi kusema unamsimamo mkali ukashindana na biology.
  Katika mazingira sahihi (right conditions) kama utashikwa
  shikwa vizuri (tarrr tiiib) kwa kisingizio cha kazi ya kupakwa
  rangi (feeling innocent) you'll lower your guards down.

  Utaanza kujiseme kimoyo moyo, "lakini hii ni profession yake"
  lakini baada ya muda mwili wako utaanza ku respond, (you
  know temp rising, lil tinglin', gettin' w*t). Hapo utaendelea ku
  justify kwamba "lakini hakuna anaye niona" n.k.

  kinesthetic touching and kinesthetic descriptive words are
  very powerful b'cause they affect us on a neurological level
  (out of your control).

  Usijecheza kabisa na neurology yako hata siku moja. Mfano
  watu wakiwa "interrogated" huwa wanakiri kosa bila kujua
  kwasababu wanakuwa wamechezewa kiakili (mind fu**ed).
  Wanatumia vitu kama modelling, presupposition, rapport,
  outcome na feedback kuteka akili ya subject.

  Kwahiyo cha muhimu ni kuwa mbali na vishawishi, usije jikuta
  asali kidogo inapoteza kitu kikubwa kama kuvunjika ndoa na
  baadae kuharibu saikolojia ya watoto ambao hawakuomba
  kuzalia katika hiyo familia.

  Ni wajibu kama watu wazima wenye busara kuyapina mambo
  kabla hatujayafanya.
   
 16. L

  Lunanilo JF-Expert Member

  #16
  Aug 1, 2010
  Joined: Feb 15, 2008
  Messages: 370
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mungu Wangu.
   
 17. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #17
  Aug 1, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  kingi uko juu ya mstari au lugha ya kigeni wasema on point!

  una sayansi nzima ya erotic stimuli zilizoko kwenye miguu hasa nyayo.................na kuna sehem za miguuni ukifanyiwa massage unaweza kufika kileleni.

  nitarudi baadae na link but sidhani kama yupo anaetaka mkewe awe anafikishwa na mpaka rangi ....:D
   
 18. Njaa

  Njaa JF-Expert Member

  #18
  Aug 1, 2010
  Joined: Dec 6, 2009
  Messages: 970
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 60
  Hawa vijana kwangu ni marufuku kabisa, walianza kuzoeana na housegirl wetu mpaka wakavuka mipaka, kwa hiyo kulinda tunda langu ni marufuku hao watu kakanyaga kwetu.
   
 19. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #19
  Aug 1, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  mhhhh nilikuwa siyajui haya...
   
 20. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #20
  Aug 1, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  mkuu umedadavua mada kwa matao stahili. Haya ndio mambo tunayohitaji kufahamishana
   
Loading...