Wanawake mkome kutusingizia mimba

Wanawake mkome kutusingizia mimba

Commander Dalton

Senior Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
198
Reaction score
264
Salaam wakuu

Mida hii ya lunch wacha niwape kastory kidogo.

Tarehe 05.02.2018 kwa mara ya kwanza nikala papuchi ya mrembo safi kabisa niliyekuwa nafukuzia kwa kipindi fulani ila katika purukushani nikahisi kuwa binti ni mjamzito ndipo nilipoamua kufanya uchunguzi kwa kifupi mimi ninajishughulisha na mambo ya afya na vipimo nilikuwa navyo ndani, kwa kuwa nililala naye usiku kucha asubuhi mida ya saa 11 akaniamsha nimsindikize kukojoa(nimepanga chumba uswazi choo kipo nje) nikampa kopo akojoe, akarudi kulala

Asubuhi saa 12 kabla hajaamka nikachukua ule mkojo nikamwambia bibie ngoja nikamwage, nilipofika nje nikaugawa ule mkojo, kidogo nikaweka chombo kingine, nikachukua kipimo nikaweka, lahaula! Binti ana mimba, sikumuambia kuwa nimegundua,

Commander nikakausha basi tarehe 14.02.2018, binti ananiambia ana mimba yangu siku kumi tu tangu nilipolala naye!!! Kumuangalia tumbo limevimba kabisa, mimba ya siku kumi kubwa kabisa nilipata hasira kidogo nimuwashe kofi ananiona mpumbavu, nikasema huyu binti nitamuaibisha vibaya maana wamezoea kusema kuwa wanaume tunakataa watoto.

Nilichofanya nikamwambia poa mwezi ukakata twende clinic akaanza kunizungusha sana ooh mara najisikia vibaya siwezi kwenda siku moja tarehe 06.03.2018 nikadanganya njoo basi nimekumiss, kufika nikashika mkono tukatafuta usafiri hao mpaka kwenye ultrasound majibu yaliyotoka, majibu yanasoma 13 weeks yaani mimba ina miezi 3 na wiki 1 , wakati nimelala naye kwa mara ya kwanza mwezi mmoja uliopita!!!


Safari ya kurudi kila mtu kapanda daladala yake


Wanawake mkome kutusingizia mimba zisizo zetu kila mtu abebe mzigo wake, vyuma ni nga nga nga



Commander.
 
Vipi umeanza kijihami na tangazo la RC wa Dar
 
Ngoja nipate lunch kwanza ndio nije nisome
 
Fikra zako zilikutuma kuwa nilimpandisha gari binafsi.

Chumba nimepanga uswazi ukitaka kulala unashikilia mlango usidondoke, nitatoa wapi gari

nilimpandisha daladala
Hahahaa!ulivyosema umempandisha gari nikadhani ni style unamfungulia kwanza bibie mlango wa gari anaingia kwanza then na wewe unazunguka upande wa dereva mzee unapiga stata huyoo!
Message sent
 
Hahahaa!ulivyosema umempandisha gari nikadhani ni style unamfungulia kwanza bibie mlango wa gari anaingia kwanza then na wewe unazunguka upande wa dereva mzee unapiga stata huyoo!
Message sent
Hahaa too much imagination, design ka umezoea fix za wakuu, kila mtu ana gari.

Mi sina
 
Back
Top Bottom