Habari ndugu wana JF!
Na baada ya salamu.
Karibuni katika mjadala kuhusu upendo.
Katika miaka ya karibuni dunia imeshuhudia kuchanua kwa ndoa ya mke mmoja (monogamy) na kudumaa kwa ile ya wake...
Wazazi wote ni wasomi wenye shahada za uzamili. Baba yuko serikalini na mmoja wa wakuu wa idara nzito. Mama ni mwajiriwa wa UN nae ni mkurugenzi wa kanda. Kutoka na na kazi zao, Baba hurudi...
Wana JF kwetu sisi tunaopenda kutongoza hovyo inabidi tuache tabia hiyo, siku hizi wasichana wana mitego ili uwatongoze na wajipatie hela halafu ana sepa, mwingine ukimtongoza hakatai anajifanya...
Hii! kwa wote,
Nimepata mchumba wa kabila la wazinza,
Nawaombeni kwa wale wanao lifahamu kabila hili la wazinza, je wanawake wa kizinza
mila zao zikoje? tabia zao kijami na pia kiunyumba zimeka...
Huyu shost tumekua pamoja huku kwetu Kwamtogole lakini bwana riziki ya mbwa iko mguuni. Shost alipata kazi kwenye kampuni moja ya mtu binafsi khee yaliyotokea yanafurahisha sasa hivi yeye ni mke...
Sitaki kumtaja kwa jina hapa nitamwakilisha kwenu kama binti. Binti alizaliwa katika familia ya Magoa. Sielewi kilichotokea lakini akiwa na umri wa miaka miwili aliachwa kwa watawa wa kanisa...
Duu kweli siku njema huonekana asubuhi
Jana jion ya kuamkia leo kwanza nilitoka zangu job nikapitia kwa mange nikapiga Zangu Tangawizi moja na biskuti za jero kama nilivyozoea,
Nikashuka zangu...
Those people who still f**k in the bedroom na kulaliana kama "kifo cha mende"..ushamba imewafikisha wapi??watu ni kuf**k outside the box buana..peleka mtu kitchen,,wekelea mguu juu ya Gas Cooker...
USALITI ni jambo baya katika uhusiano. Usaliti si ujanja japo wengi wanaowaza kusaliti huwa wanajiona wajanja. Wanajiona wamewini pale ambapo wanasaliti na wenzi wao kutogundua kama wanasalitiwa...
Wanasayansi wa Vyuo Vikuu mbalimbali huko nchini Uingereza wamebaini / wamegundua kwamba Wanaume wasiooa au wale ambao hawana mpango wowote wa kuja kuona wanakuwa katika nafasi kubwa ya kutougua...
Hi,mimi ni mwanaume najitokeza kwa mara ya kwanza kutafuta mke ambaye nitaishi naye siku zote,mwenye umri wa miaka 23-28,elimu kuanzia kidato cha sita na kuendelea,dini mkristu,kabila lolote,awe...
Nina mpenzi wangu tometofautiana kidogo lugha na mambo haya ni kawaida kutokea kwenye mahusiano.Mimi naweza kiri kwa namna moja ama nyingine ndie chanzo cha kupishana kiswahili na huyu mpenzi...
Habari,
Nafuta wife material mwenye mapenzi ya dhati, kwa aliye serious ani pm.
Wasifu wangu
Sina mtoto
Sivuti sigara
Nimejiajiri mwenyewe ili mradi mkono mkono uingie kinywani
Elimu chuo kikuu...
kama ilivyo ainisha hapo juu, kwani wanawake wengi mmekuwa mkilalamika mnakosa wanaume wa kuwaoa, yawezekana sababu ni kuwa haujawa na sifa za kuwa mke lakini unasifa za kuwa refreshment tool...
Habari zenu wapendwa
Leo naitaji wambia vijana ambao bado hawajaoa ila wanampango wa kuoa, nasema haya kutokana na uzoefu na changamoto tunazokutana nazo katika maisha ya kila siku
Ukiwa wewe ni...
Hii sehemu ina totoz kali sana.
Kuanzia kule kwenye showroom hadi ile sehemu ya kulipia.
Ni totoz kali tu mwanzo mwisho hadi mteja unajiskia raha na kukufanya urudi hata kama huna cha kununua...
Heshima kwenu wakuu,
Kuna kitu sasa naona kimeshika hatamu kwa dada, Mama zetu wa siku hizi.
Unakuta Mwanamke mwenye ndoa yake au yupo kwenye mahusiano, lakini akikutana na rafiki yake(Sio...
Wataalamu wa masuala ya mahusiano hudai kuwa mara nyingi watu ambao huachana na wapenzi wao wa kwanza kabla ya kuoana huwa na na sababu zinazofanana, ili kuthibitisha hili ebu tuambizane sababu za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.