Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Siku hizi imekua kawaida kwa wanawake pindi wanapoulizwa na wapenzi wao kama wameshakula au laa ile ya kimahaba mara nyingi majibu yanayotoka utasikia "sijala baby".Ukishaambiwa hivyo mwanaume...
3 Reactions
60 Replies
4K Views
kaka yangu kafariki, chonde mtoto wetu, mke na watoto utarithi wewe, ili ukoo wetu usipotee ooh baba na mama mnisikilize kwanza, kwa haya nitakayosema naomba mnikubalie kurithi ndoa ya kaka kwangu...
5 Reactions
24 Replies
6K Views
.....
2 Reactions
60 Replies
3K Views
Ni ukweli usiopingika kuwa ndoa nyingi zina migogoro mingi sana siku hizi. Mdau mmoja aliwahi kusema zimegeuka magereza bubu bila wao kujijua na bila serikali yetu tukufu kulijua. Nyingi hazitaki...
7 Reactions
23 Replies
4K Views
Do you want to yield good returns in your marriage? 1. Invest time in your marriage. Make ample time to spend with your spouse and children 2. Invest wisdom in your marriage. Read books on...
4 Reactions
3 Replies
779 Views
Katika pita pita zangu fb juzi nilipata rafiki wa kike ambae niliona hata urafiki ukiendelea huyu ni pasua kichwa. Ilinibidi nimpotezee maana alikokuwa anaelekea angenigeuza mimi baba kijacho...
4 Reactions
64 Replies
5K Views
wakuu Niliamua kumtongoza mfanyakazi mwenzangu, hali imekuwa tofauti kanuna kabisa no salamu hataki kunisikia wala kunioa, ikitokea tunakutana hata kwa bahati mbaya husubiri au hata kujificha...
3 Reactions
36 Replies
4K Views
Anakulipia ada. Analipa kodi ya nyumba.. Analipa hela ya hostel unaposoma Ukiomba hela ya kujikimu anakutumia haijalishi una mkopo au laah! Mke wake naye anamtunza kwa kumvisha na kumpa hela za...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Nina mpenzi ambae mda wowote nikiwasiliana nae kwa kutaka kumjulia hali hajawahi niambia yupo poa, nikianza na maumivu ya tumbo hiyo hali inatokea akiwa kwenye siku zake, hiyo hali huchukua siku...
3 Reactions
80 Replies
10K Views
Miezi kama sita iliyopita niliingia kweny mahusiano na mdada mwenye mtoto mmoja wa miaka kama mi4. Ni mdada mmoja mzuri wa kiiraqw yupo 30s now kiukweli nakiri ni mzuri sana na nimtamu balaa na...
1 Reactions
69 Replies
6K Views
Kuna mzee mtu mzima sana alisema wanaume huwa hatujitambui. Hela ya chakula unamkabidhi mama chumbani. Mama anatoka na kapu ananunua chakula anapika anawaambia watoto wanangu njooni mle...
9 Reactions
44 Replies
5K Views
Kuna watu wanasema mapenzi pesa. Wengine wanasema mapenzi ni kuthamini. Wengine mara six packs, wengine chura n.k. it's ok mapenzi pesa ila sio Upendo kwenye mapenzi. Kiuhalisia, unaweza kumfanyia...
58 Reactions
615 Replies
46K Views
Rejea tu Kichwa cha Habari hapo juu kisha tusaidiane kujua kwamba je kuna ukweli wowote? Nawasilisha.
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari, Kuanzia leo nataka tukutane wale wote mliokua pasipo uwapo na uwajibikaji wa baba mpaka kufikia mlipo, ilihali wao ni wazima na wangeweza kuwajibika. Tushauriane; 1. Tuwafanye nini? 2...
27 Reactions
626 Replies
64K Views
Naombeni ushauri maana nimechanganyikiwa nilifanikiwa kupata mpenzi huku mtandaoni ninampenda sana ila juzi nilikuwa nachati na mkaka mwingine whatsup,yupo zimbambwe sio mtanzania tulikutana...
13 Reactions
2K Replies
129K Views
Kama mada inavyojieleza Kuna mdada hapa jirani nlimtongoza na akakubali Mapenzi yakaanza full chating,na kila aina ya vikorombwezo Ikafika wakati wa kuomba papuchi,ntoto akaanza mapozi na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
My dear lovely WIFE. The Fifa World Cup 2014 is close by. Let me give you a few rules that will preserve your beauty. 1. The remote control belongs to me for the whole month. 2. Tell all yo...
2 Reactions
39 Replies
4K Views
jamaa mmoja alipata mchumba kabila flani nyanda za juu kusini.ikawa amepelekwa home kwa mchumba kutambulishwa. siku ya kwenda jamaa aliandaliwa msosi wa kufa mtu. anasema alikuta ndizi mbalaga...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Huyu shost mtoto mashalaah kaumbika sura mpaka umbo. Ingawa alizungusha form six lakini baada ya boss kufahamu kuwa ana shida ya ajira ziliachwa division II shost akaingia. Kwa muda mrefu...
11 Reactions
45 Replies
3K Views
jamani kuna watu wanajua kupenda.. mpaka wewe mwingine unaona wivu...ukitamani uwe wewe.. jamaa yangu mmoja ambaye alitoka bukoba miaka ya 2004 amekaa kaa town naye akawa mjanja mwitu. basi ameoa...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Back
Top Bottom