Mbishi 4 real
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 640
- 657
Nina mpenzi wangu tometofautiana kidogo lugha na mambo haya ni kawaida kutokea kwenye mahusiano.Mimi naweza kiri kwa namna moja ama nyingine ndie chanzo cha kupishana kiswahili na huyu mpenzi wangu.
Nimelitambua kosa langu sasa leo nimempigia majira ya asubuhi nikasalimiana nae na akarespond vizuri tu na nikamwambia kwamba nahitaji kuzungumza nae baadae atakapokua free na akanambia vizuri tu kwamba atanishtua akiwa free.
Sasa ni takribani masaa kama saba yamepita bado hajanicheki na mimi kwa upande wangu nimeona niheshimu kauli yake ya kwamba atanicheki akiwa free.
Naona kama uvumilivu wa kusubiri anicheki umeniishia sasa kabla sijamcheki tena naomba ushauri wenu, kuna haja ya kumcheki tena kabla yeye hajanicheki au nimuache mpaka anicheki yeye mwenyewe ingawa najua ana hasira for what happened between us.
Wazoefu wa hizi kazi naomba ushauri wenu tafadhali