Nabaki Afrika

Nabaki Afrika

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
97,402
Reaction score
138,668
Hii sehemu ina totoz kali sana.

Kuanzia kule kwenye showroom hadi ile sehemu ya kulipia.

Ni totoz kali tu mwanzo mwisho hadi mteja unajiskia raha na kukufanya urudi hata kama huna cha kununua.

Nampongeza sana mmiliki wa Nabaki Afrika kwa kunifanya niwe mteja wa kudumu.
 
Hahaha Nyani Ngabu umenifanya nicheke mwenyewe.................
 
Hhahahaahahahaa biashara matangazo Mpwa, relax, ngoja kuna kijiwe kingine nitakutajia jina baadae, ukienda hapo ndio hutatoka kabisa kabsia mileleleleleleleeleleleeee
 
Hapo hata mzigo unanunua reja reja ili upate nafasi ya kurudi rudi, wakati ungeweza kubeba mzigo wote tu.
 
Hhahahaahahahaa biashara matangazo Mpwa, relax, ngoja kuna kijiwe kingine nitakutajia jina baadae, ukienda hapo ndio hutatoka kabisa kabsia mileleleleleleleeleleleeee

Nambie mazee.....au nije inbobo?
 
Back
Top Bottom