Kijana usioe kama huna uwezo wa kupanga nyumba nzima au kujenga nyumba yako

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
4,449
9,372
Habari zenu wapendwa

Leo naitaji wambia vijana ambao bado hawajaoa ila wanampango wa kuoa, nasema haya kutokana na uzoefu na changamoto tunazokutana nazo katika maisha ya kila siku

Ukiwa wewe ni kijana ambaye bado ujaoa na unampango wa kuoa basi kama huna mipango ya kujenga basi waza kupanga nyumba nzima ili ukija uishi wewe na familia yako tu pasipo mwingiliano na wapangaji wengine

Kwanini nasema hivi nyumba za kupanga na wapangaji wengine zinachangamoto kubwa sana , tena ukiwa na watoto ndio balaa

Mtoto ataitaji kucheza kuwa huru kwakua mtoto basi kwenda vyumba vya jirani ni suala la kufikia tu, hivyo kama jirani apendi watoti nk utakwazika kwa mwanao kupigwa, kufokewa fokewa nk

Ukipanga nyumba ambayo wengine si wana ndoa tatizo napo vimaneno maneno kibao utasikia hata ukipuuzia ipo siku utakwazika utapiga mtu.
 
eeeh unayumba Mzee sasa watu wawili mpange nyumba nzima?
je inakuwaje kwa kijana ambae hana huo uwezo kupanga nyumba nzima na kujenga, unataka azeeke bila hajaoa kumbe.
afu pia kama mtoto wako haendi Kwa wengine,wenzie watamfuata kwako.

ok labda wewe ni get Kali wakishua
 
Habari zenu wapendwa

Leo naitaji wambia vijana ambao bado hawajaoa ila wanampango wa kuoa, nasema haya kutokana na uzoefu na changamoto tunazokutana nazo katika maisha ya kila siku

Ukiwa wewe ni kijana ambaye bado ujaoa na unampango wa kuoa basi kama huna mipango ya kujenga basi waza kupanga nyumba nzima ili ukija uishi wewe na familia yako tu pasipo mwingiliano na wapangaji wengine

Kwanini nasema hivi nyumba za kupanga na wapangaji wengine zinachangamoto kubwa sana , tena ukiwa na watoto ndio balaa

Mtoto ataitaji kucheza kuwa huru kwakua mtoto basi kwenda vyumba vya jirani ni suala la kufikia tu, hivyo kama jirani apendi watoti nk utakwazika kwa mwanao kupigwa, kufokewa fokewa nk

Ukipanga nyumba ambayo wengine si wana ndoa tatizo napo vimaneno maneno kibao utasikia hata ukipuuzia ipo siku utakwazika utapiga mtu.

Akili za kitoto hizo yaani apange nyumba nzima ndio aoe? Unaishi mkoa gani wewe? Kwa dsm upange nyumba nzima? .. huo uwezo wa kupanga nyumba nzima si ajenge ya kwake tu
 
Rafiki zangu kama watatu hivi waliniambia bikra zao ziliondolewa kwenye nyumba za kupanga. Mmoja kati yao ni wa kiume, yeye Baba yake mdogo alikuwa na duka hivyo kila siku jioni alikuwa anasaidia kuuza na kila Jumapili alilipwa shilingi mia ya enzi hizo.
Wamama waliitana wakaambiana kuwa mtoto ana mmasai yule. Akiwakopesha hawamlipi akikumbusha wanamsanulia
 
Wake za watu pia wanatupiwamo sana nyumba za kupanga,

Umepanga ww na mkeo halafu kuna vijana wengine kama watatu mkeo kajaaliwa kimtindo kwa nini vijana wasisaule kama gulioni( kwa mwanamke mjinga lakini)
 
Uwezo wako wa kufikiri na kuangalia mambo kwa uwezo wa ziada ni mdogo sana. unamshauri mtu akapange nyumba nzima? Hizo akili au matope? wakati kodi ya nyumba mwaka mzima huko Daslam, huku kwetu mikoani unajenga nyumba yako nzuri tu.
 
Ushauri wako mzuri kabisa, ila sasa wengi hawana huo uwezo wa kupanga nyumba nzima
Wajipange sasa wasikimbilie kuoa, naona wengi mapovu yanawatoka ngoja waoe wakaishi nyumba za kupanga waone jinsi watoto zao wanabakwa wakiwa bado wadogo nyumba za kupanga watu wengi hazina ustarabu wakuitaji familia yako iishije.
 
Basi wataelewa
 
Mhhh me ntatofautiana na wewe
Kama kijana ana uwezo wa kulisha familia, i mean ana uwezo wa kuyamudu majukum yake na nia ya kuoa ipo aoe tu
Hata billioni ilianza na moja, hapo swala kubwa n kuomba upate mtu sahihi mkashirikisha akili zenu mnaweza kutoka kimaisha
Nyumba za kupanga zina mambo mengi sana muhim kuvumilia tu mkiwa mnafanyia kaz malengo yenu maisha yaende
 
Wajipange sasa wasikimbilie kuoa, naona wengi mapovu yanawatoka ngoja waoe wakaishi nyumba za kupanga waone jinsi watoto zao wanabakwa wakiwa bado wadogo nyumba za kupanga watu wengi hazina ustarabu wakuitaji familia yako iishije.
Mmh hii kali, wakati unajipanga unakua Mungu umeagana nae?? Kubakwa kupo tu hata mkikodi nyumba nzima anaweza kubakwa vile vile
 
Usubiri uwe na uwezo wa kupanga nyumba nzima ndo uoe? kafanye utafiti utupe asilimia ya watu wenye uwezo wa kupanga nyumba nzima hasa kwenye miji mikubwa ili tuwe na basis ya kuunga mkono hili pendekezo lako.
 
Back
Top Bottom