Ningepata mwanamke akanituliza ningefanya maendeleo

Ningepata mwanamke akanituliza ningefanya maendeleo

Hayo maneno ya kuchombezana mlikuwa chumbani ama Hapo hapo bar?

Ila mwisho wa siku jamaa alikutamani tu na alikuwa na mapenzi ya dhati na mkewe alichotaka kwako ni papuchi tu.

Kuna mada ililetwa hapa kuwa "wanaume tunachepuka sio kwamba hatuwapendi wake zetu lahashaah, tunawapenda sana tu na kuwaheshimu"

Wanaume tumeumbwa na tamaa mtusamehe tu, tunawapenda sana wake zetu na bora ungempa jamaa papuchi angekuwa free sana ukamkatili ni roho mbaya hiyo.
 
Kama hukutidhika na majibu aliyokupa huyo bwana wako utaridhika na ya kwetu?
Em tuliza wenge..
 
Binadamu tumeumbwa na moyo wa tamaa na kutokuridhika kwahiyo hilo la jamaa kutaka kuchepuka kwako nitamaa zake na kotoridhika na mkwewe....

Kuhusu NINGEPATA MWANAMKE AKANITULIZA NINGEFANYA MAENDELEO...

[emoji121][emoji121] Hiyo ni kauli mbiu ya mtongozo tu ili umuelewe kirahisi na usizidi kumbana kuhusu maswala ya mkewe...
 
Hayo maneno ya kuchombezana mlikuwa chumbani ama Hapo hapo bar?

Ila mwisho wa siku jamaa alikutamani tu na alikuwa na mapenzi ya dhati na mkewe alichotaka kwako ni papuchi tu.

Kuna mada ililetwa hapa kuwa "wanaume tunachepuka sio kwamba hatuwapendi wake zetu lahashaah, tunawapenda sana tu na kuwaheshimu"

Wanaume tumeumbwa na tamaa mtusamehe tu, tunawapenda sana wake zetu na bora ungempa jamaa papuchi angekuwa free sana ukamkatili ni roho mbaya hiyo.
Alimpa sana tu mkuu hapo katupiga za penat.
 
Mwanaume akikutaka atatumia maneno yoyote ya kukufurahisha, aweza hata kumchafua mkewe ili mradi tu ahakikishe anakupata. Sio rahisi mtu kumsifia mke wake ilhali anakutaka. Wachache wenye ukomavu ndio hawachanganyi stories zinazomhusu my wife wake.
 
Huyo anataka akukule tu wala huna uwezo wa kumtuliza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom