Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu assalaam aleyqum!!! Niseme tu ya kwamba dunia yetu inapoelekea ni kubaya hasa kwa hapa nchini Tz (Dar es salaam in particular). Mchana wa leo nilivyotoka job nilipitia njia ya TMK kwa...
9 Reactions
106 Replies
11K Views
Habari wakuu, Nina mwenza wangu ambaye tumeachana baada ya kushindwana mambo fulani fulani. Nimedumu naye kwa muda kidogo sana lakini katika mazingira ya kupimana tabia na mimi kuna vikwazo...
1 Reactions
99 Replies
9K Views
Si mnajua siku hizi hawakatai!!? Wanagawa tu bila hiana. Ukikaa naye mwanzo wa mwendokasi mpk mkija kufika mwisho ushapewa mpk namba ya simu ambayo hata wazazi wake hawana. Yaani kwa dakika hizo...
1 Reactions
45 Replies
6K Views
Huyu mdada alikuwa anataka kusafiri, ubalozini waliomba cheti cha chanjo aliamua kupima na ngoma kabisa majibu amekutwa HIV+ mdada amekuwa frustrated and confused changanya pamoja hakutaka hata...
13 Reactions
75 Replies
6K Views
Habari wana JamiiForums, Siku za karibuni wanawake wengi sana wamekuwa wakihaha usiku na mchana kuzitafuta ndoa na hata kuyapata mahusiano yenye nguvu lakini wengi wameishia kuzalishwa au hata...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Nimewahi kuwashuhudia Wanawake kama Watano ( 5 ) hivi ambao tayari wameolewa na wameshazalishwa Watoto na hao Waume zao kila asubuhi au wakiwapigia Simu labda baada ya kutowasiliana nao kwa muda...
3 Reactions
121 Replies
8K Views
Habari za wakati huu, Muwazima?.. Baada ya salamu, mimi mwaka huu nimedhamiria kuwakomboa wanaume wenzangu kwenye majanga ya mapenzi, maana wengi katika wao, wanasumbuka mno! Naomba nianze...
36 Reactions
229 Replies
33K Views
Naomba nipewe ujanja / mbinu ya ama kumuomba namba ya Simu Mwanamke mkiwa katika Daladala lililojaa bila kuona aibu au ile ya kumpa Mwanamke namba yako ya Simu ' kimya kimya ' bila ya kuathiri...
0 Reactions
2 Replies
760 Views
Habari ndungu wana JF, Mwaka Jana mwezi wa 4 ndugu yangu alipata ajali katika basi akiwa anatokea Morogoro kwenda Dar alivunjika mguu hivo baada ya kuletwa nyumbani kufanyiwa utaratibu wa...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Natafuta mchumba nina umri wa miaka 28. Nafanya kazi nina mtoto mmoja. Ni mfupi maji ya kunde. Nahitaji mume ambae alie seriously na maisha mwenye upendo mcha Mungu dini yoyote ila awe na umri...
6 Reactions
77 Replies
8K Views
Kuna baadhi ya wanawake wenye ndevu na kuendelea kuziacha hivyo hivyo Hivi zinawasadia nini ? Mi nikionaga mwanamke kafuga ndevu hata kuongea nae ni shida. Namuona kama ni mwanaume anae kuwa na...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari ndugu zanguni, Kila ninapo break up na partner zangu either kwa uzuri au ubaya huwa nablockiwa kila sehemu kuanzia calls za kawaida mpaka social networks. Ex wangu nilimfuma na text...
1 Reactions
107 Replies
7K Views
Wakuu habari za leo Nimekaa nalo moyoni toka juzi naona limenishinda Nilikuja mkoani kumsalimia mpenzi wangu japo nilikuja pia kwa majukumu mengine sasa tulipo kuwa kunako sita kwa sita wakati...
2 Reactions
64 Replies
7K Views
Nina mtoto mmoja, umri wangu 28, naishi Ruvuma wilaya Namtumbo, kazi sina ya uhakika ila nimejipanga kilimo cha mpunga msimu ujao, nafanya kazi ila kipato chake kidogo kwa mwezi(teaching private...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Yaan hawa wadada usipokuwa kauzu, wataendeleza Tabia za kula vya watu na kusepa Ili ufanikishe ili inabidi ufanye yafuatayo kama nilokuwa nafanya, Sikuwahi kumkabidhi demu wangu hela mkononi...
12 Reactions
110 Replies
10K Views
Kama mnakumbuka niliambiwa na mchumba ambaye nilimgharamia kila kitu eti nipige gharama zangu anirejeshee, nikapiga zilikuwa zaid ya milion 7 , nje ya materia things, kama simu kali na laptop...
1 Reactions
35 Replies
5K Views
Habari wanajamii. Huku mtaani tukijaribu kujiweka karibu nanyi ili kuanzisha mahusiano yanayoweza kupelekea ndoa mnatuona hatuna maana kabisa. Lakini mnakuja kutafuta marafiki Jf na kwenye...
3 Reactions
34 Replies
4K Views
Kuna dada mmoja alinitumia request fb na mimi nika accept bila hiyana takribani wiki mbili zilizo pita, nilikua na kawaida tu ya kumtumia text kwa fb messenger just kumjulia hali tu lakini mara...
8 Reactions
68 Replies
6K Views
Wadada hii tabia ya kuitwa ghetto then mnaanza kuuliza Nakuja kufanya nini? ife kabisa Wee unajua kabisa mi nahitaji papuchi ila unaamua tu kunichosha na maswali yako Tambua mwanaume yeyote...
9 Reactions
127 Replies
10K Views
Habari ndugu wana JF! Na baada ya salamu. Karibuni katika mjadala kuhusu upendo. Katika miaka ya karibuni dunia imeshuhudia kuchanua kwa ndoa ya mke mmoja (monogamy) na kudumaa kwa ile ya wake...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom