Mbinu za akina dada kuwalia hela wanaume

Keneth12

Senior Member
Oct 12, 2015
114
162
Wana JF kwetu sisi tunaopenda kutongoza hovyo inabidi tuache tabia hiyo, siku hizi wasichana wana mitego ili uwatongoze na wajipatie hela halafu ana sepa, mwingine ukimtongoza hakatai anajifanya kama hana jibu muda huo, wanajiandaa kuwa na line ya simu ambayo haijasajiliwa kwa majina yao na hiyo ndio atakayokupa ukimuomba, au anayo yenye majina yake lakini haitumii sana ni kwa kazi maalum kama hiyo, anakuacha ujipendekeze kuwa unampenda sana, unaendelea kumtumia mesage anasubiri kama wiki hivi badae anakuomba msaada pesa anayojua utatoa ukitoa anajua zipo, usipotoa anakutolea makavu, baada ya siku kadhaa anachomeka tena ukikubali kutoa basi, humpati tena anazima iyo line ukimtafta fb anakwambia simu imepotea au imeingia kwenye maji hana simu, ukimnunulia simu halafu unamuomba unyumba anakuzungusha ukisumbua ana ku block fb. Ukimfatilia anaanza matusi eti huna aibu kuwafuatilia wake za watu. Hii imewaliza wengi. Na wengi wanashidwa kudai mali na simu walizohonga. Kwann tusikome tuachane na hii tabia maana tutapoteza sana na kuishia maumivu.
 
Hata nikipiga..huwa naangalia wa kumpa...maana wana tabia mbaya mapenzi mengi kwenye simu..hata kula hujala unashangaa unapigwa kizinga cha kodi...unasikia nimepungukiwa na laki mbili ya kodi nisaidie....
Mwingine sikugundua kama muuzaji aiseee kufika naye lodge..tukafanya ya utangulizi nataka maliza ananiambia bila laki mbili hugongi..nikamwangaliiia kisha nikamwambia yaani nikulishe nikunyweshe na laki mbili nikupe..vaa uondoke na sura nilishaibadili hapo....na uxhi wako sitaki tena
 
Back
Top Bottom