Mapenzi yanapaswa yawe ni pepo ya moyo! Kinyume na hapo, sepa tu. Huna haja ya kubaki kwenye mahusiano yanayokuweka roho juu kila siku. Ya nini sasa?
Kwa ushauri tu, ukikutana na mambo haya...
Yangu naachukia wadada wanaojishaua na maisha yakupretend na pia nachukia kuringiwa na mabosi wanaojiona na wanadaiwa mikopo.
Nachukia wakaka wanaopiga wadada na kuwanyanyasa.
Nawachukia mamario.
Naomba tusaidiane mawazo nini chanzo cha kukuwa kwa tamaduni hii hapa nchini na kwa jamii zote zenye watu weusi. Binafsi nazungumza haya kutokana na uzoefu wangu(life experience) na uchunguzi...
Isaya:4.1
Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu.
Habari wapendwa
Dunia ina mambo
Kuna ndugu yangu mmoja ni mkazi wa Tabata ila anafanya kazi mkoa mwingine, ameoa na wamebarikiwa watoto. Mke wake kwa siri akachukua mkopo benki na kuweka nyumba...
​
Ripoti ya viashiria vya Ukimwi nchini katika mwaka 2011/12 imeonyesha kuwa wasichana wenye umri wa kati ya miaka 23 na 24 wameambukizwa virusi vya Ukimwi kwa asilimia 6.6, ikilinganishwa...
MAMBO 15 YA MSINGI SANA KUYAJUA ILI UISHI NA WENZIO VIZURI.
1. Epuka hasira za hovyo na kila mtu, kuwa msikivu kabla ya kukimbilia maamuzi (elewa kuwa ukiwa na hasira huwezi kupata suluhu ya...
Kwa wale vijana wanaotaka kuoa niwaambie tu usije ukakimbilia kuoa eti ni kwa sababu unataka Tendo la ndoa.
Au unataka kuoa kwa sababu umechoka kupika na kufua ?
Unatakiwa ukae ukijua Kwamba...
Huyu shost alikuwa wale waliobaji kwenye shelf kidogo. Tangu amemaliza shule alikuwa nyumbani muda mrefu mpaka pale handsome boy alipokuja kutoa posa na harusi ikafuata. Wazazi waliambiwa kazi ya...
Habari wana jamvi! Niende moja kwa moja kwenye mada hapo juu. Kuna mdada mmoja nilichukua namba yake kukawa tunachart vizuri tu.
Sasa nikajisemea ninogeshe penzi nika mtumia hela bila yeye...
Kipindi hicho nipo kidato cha kwanza shule ya kata nilipata kuzoena na kuwa na ukaribu na mtoto mzuri tulikuwa na mazoea ya kawaida tu sijui kama kwa kipindi kile kama kati yetu kuna mtu...
Kwa Mujib wautafiti uliyofanyika na Prof Mbaga wa Muhimbil; zaidi ya mashoga 700 walijitokeza kwenye utafiti huo mkubwa uliyofanyika Dar na kutangazwa rasmi mwaka 2018 ( Mbaga et al., 2018)...
Ni tumaini langu wote wazima,
Nipo hapa kumtafuta Soul mate wa maisha ambaye ana uhitaji wa kuanzisha familia Na kutulia kwa kuzingatia kwamba Mungu alituumba kila mtu na mtu wake kwa muda...
Stori za huku kwetu Kwamtogole leo zimekuwa nyingi sana. Eliza alimaliza kidato cha nne na kupata cool ladies division. Kwa hasira wazazi wake walimpeleka evening classes pale Magogoni. Kule...
Ni zaidi ya miezi nane sasa nipo kwenye mahusiano na mpenzi wangu ambapo kitabia sina mashaka nae ingawa ni ngumu kumuamini mtoto wa kike kwa asilimia 100% sababu wametawaliwa na tamaa ila...
Ataonyesha bashasha isivyo kawaida ila hatokuwa anataka mtazamane machoni
Atajifanya anakuhitaji sana Kimapenzi na mkiwa Mapenzini siku hiyo atajibiidisha sana / mno
Atajifanya anakupikia...
Habari,
Mimi ni mwanamke wa kitanzania.
Wasifu wangu:_
Mkristu-RC(Mcha Mungu)
Self Employed(kipato cha kati,nayamudu maisha yangu)
wasifu wa mchumba mtarajiwa
-Mcha Mungu
-Umri 27-36 yrs ol...
Habari wanajamvi,
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka,
Hii ni likizo time kwa watoto wetu so tuchunge kauli zetu humu jukwaani msijejikuta mna date na mabinti zenu mkaumbuana baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.