Nimeamini mapenzi yanaua

Kwani hakuna wanawake wenye tabia hizo za kucheat? Iweje useme "wanaume most of them wana roho za kisatanic?"

Kabla ya kulaumu wanaume jaribu kujitafakari,nini kimepungua kwako mpaka huyo jamaa yako akucheat?

Tatizo ni nini mpaka akucheat? Kuna kitu anakosa kwako ndio maana kaenda kukitafuta kwa mwingine na ulitakiwa ulitambua hilo toka ulivyomkamata akikucheat mwanzoni kabisa.
 
Hichi kimenitokea siku si nyingi yani nimemfumania live na hii si mara moja japo nishafumania mara nyingi lakini aliomba msamaha na maisha yakasonga. Lakini hii ya juzi kali badala ya kuomba msamaha kaishia kuniambia kama nimemchoka nimuache atapata wengine.

Dah eeh Mungu nisaidie nipite salama katika hili japo nishaamua ni no turning back tena ila maumivu nayopata ni Mungu tu anajua.But sitakuja kumuamini kiumbe anayeitwa mwanaume chini ya jua maana many of them wako na roho za kisatanic.
Daaah msitufanyie hivyo wanaume hatufanani
 
Pole sana, lakini bado huna sababu ya kulaumu wanaume wote kwa ajili ya wachache uliowaona. Dunia inawanaume wengi sana, wewe hujakutana hata na 1%.
 
Pole sana my dear, baadhi ya wanaume hawana uaminifu kabisa wako kwa ajili ya kuwaumiza wapenzi wao.
 
jikaze mama.
haya mambo hayaa yamefanya niache mtu na mahari nmelipa.dadeki.
Hatuna tofauti we umeacha mahali ila nami ilikuwa ni mtu ambaye tushatambulishana pande zote na kama mipango ingekwenda sawa ilikuwa tufunge ndoa mwishoni mwa mwaka huu but kisicho ridhiki hakiliki.
 
Hichi kimenitokea siku si nyingi yani nimemfumania live na hii si mara moja japo nishafumania mara nyingi lakini aliomba msamaha na maisha yakasonga. Lakini hii ya juzi kali badala ya kuomba msamaha kaishia kuniambia kama nimemchoka nimuache atapata wengine.

Dah eeh Mungu nisaidie nipite salama katika hili japo nishaamua ni no turning back tena ila maumivu nayopata ni Mungu tu anajua.But sitakuja kumuamini kiumbe anayeitwa mwanaume chini ya jua maana many of them wako na roho za kisatanic.
Hapa nilicho kielewa toka kwako ni kuachana na mpenzi wako

Na kingine ni kuto mwamini mwanaume

Mwanaume ni moja ya nguzo mhimu katika mahusiano

Je usha wahi kujiuliza amekosa nini kwako anacho kitafuta nje

Hapo we ni chanzo cha kuchepuka
 
njo kwangu bibie!!!, nikupetipeti,nikuliwaze na kukupoza kamoyo.Hakika hutojutia maaumuzi yako nakuapia.
Sikuja hapa kutafuta mwanaume ila kupunguza maumivu yangu.Na ndo mana hata PM yangu nimefunga sababu nililihisi hili maana wengine katika maumivu ya wengine huwa mnaona ndo sehemu ya kuongezea maumivu.
 
Hapa nilicho kielewa toka kwako ni kuachana na mpenzi wako

Na kingine ni kuto mwamini mwanaume

Mwanaume ni moja ya nguzo mhimu katika mahusiano

Je usha wahi kujiuliza amekosa nini kwako anacho kitafuta nje

Hapo we ni chanzo cha kuchepuka
Inawezekana kweli ila ni bora angeniambia mapema kuliko mda alionipotezea na aibu alonitia kama alijua hilo alinipeleka kwa wazazi wake kufanya nini alikuja na kwa wazazi wangu kufanya nini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom