Usihukumu Suomi kosa lake

Usihukumu Suomi kosa lake

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438
Sitaki kumtaja kwa jina hapa nitamwakilisha kwenu kama binti. Binti alizaliwa katika familia ya Magoa. Sielewi kilichotokea lakini akiwa na umri wa miaka miwili aliachwa kwa watawa wa kanisa Katoliki akiwa yatima.

Mapenzi, malezi na elimu aliyopewa pale yalimuendeleza mpaka kuhitimu chuo cha ualimu. Alipangiwa shule ya kufundisha na watawa walimpatia pesa kidogo na mahitaji muhimu ya kuanza maisha.

Katika kile kituo cha kazi Binti amekutana na kijana wa Kiarabu kutoka katika familia yenye kuendesha shughuli nyingi za biashara katika sehemu ile. Kipingamizi kilichoko kwa Binti kutokuolewa na Mwarabu ni dini. Ameamua kuslimu watawa wamebaki wanyonge mtoto waliyemlea amekataa wokovu wa Yesu.
 
Ni haki yake kufanya alichofanya!
Watawa hawapaswi kulalamika, unless kama kulikuwa na agreement (jambo ambalo ni gumu as walimchukua akiwa minor), sheria inampa favor minor.
Lakiniii, kama namfahamu ngoja nilalale tena niote nimkumbuke
 
Perception ya watawavilikuwa ni Binti kupata ndoa ya Kikatoliki lakini wanasahau kuwa katika jamii ile anayoishi yeye ni mmanga katikati ya wamatumbi
 
Au kuna kitu unknown walikiandaa kwake kwa maslahi ya jumuiya hiyo ya watawa. "Chakula cha cha wasiokula"
 
Au kuna kitu unknown walikiandaa kwake kwa maslahi ya jumuiya hiyo ya watawa. "Chakula cha cha wasiokula"
Sidhani Ila daraja alilovuka kwenda upande wa pili ni sawa na maji na mafuta
 
Dunia hii ina mambo mengi sana, anyway kakua afanye anachoona kina mfaa, japo watawa lazima wasikitike kwasababu kubadili kwake dini ni kama kamkana baba ake na mama ake ambao ni ukatoliki
 
Hii ndiyo familia pekee anayoijua Bunti na watawa wanajitafakari kwenda kwenye harusi ya Kiislamu
Hahahh mate bana stori imenikumbusha maisha ya milimani kuleee usambaani tulikuwa nao wengi ujue wengi walikuja kuacha katoliki wakaendelea na maisha.
Watawa wasiwe na mioyo migumu wamwachilie Mungu wetu ni mmoja tunatofautiana lugha na makandokando mengine. Wanaweza wasiende kwenye shughuli lakini wampe baraka zao akaanze maisha.
 
h
Sitaki kumtaja kwa jina hapa nitamwakilisha kwenu kama binti. Binti alizaliwa katika familia ya Magoa. Sielewi kilichotokea lakini akiwa na umri wa miaka miwili aliachwa kwa watawa wa kanisa Katoliki akiwa yatima.

Mapenzi, malezi na elimu aliyopewa pale yalimuendeleza mpaka kuhitimu chuo cha ualimu. Alipangiwa shule ya kufundisha na watawa walimpatia pesa kidogo na mahitaji muhimu ya kuanza maisha.

Katika kile kituo cha kazi Binti amekutana na kijana wa Kiarabu kutoka katika familia yenye kuendesha shughuli nyingi za biashara katika sehemu ile. Kipingamizi kilichoko jwa Binti kutokuolewa na Mwarabu ni dini. Ameamua kuslimu watawa wamebaki wanyonge mtoto waliyemlea amekataa wokovu wa Yesu.
ahahahahahaha
 
Hahahh mate bana stori imenikumbusha maisha ya milimani kuleee usambaani tulikuwa nao wengi ujue wengi walikuja kuacha katoliki wakaendelea na maisha.
Watawa wasiwe na mioyo migumu wamwachilie Mungu wetu ni mmoja tunatofautiana lugha na makandokando mengine. Wanaweza wasiende kwenye shughuli lakini wampe baraka zao akaanze maisha.
Ninakumbuka walikuwa wengi masikini walikuwa wanatamani kuja Dar shule zikifungwa. Watawa wamesaidia sana jamii
 
Waache waoane wawe baba na mama mungu Hana Dini Dini tunazo sisi na zinatusumbua sana mtu mzima ana maamuzi yake asipangiwe yeye atakaepambana na Hali ya ndoa Kuna maisha pia nje ya ukatoliki
 
Sky Eclat uandishi wako huu siku hizi ni wa mwendokasi! Back tu topic ni kwamba hao watawa waliplay part yao ila sasa wajue mapenzi yana nguvu kuliko wokovu! Mwache tu bint ainjoy dyudyu wokovu ataupata akifika mbinguni!
 
Mapenzi hayana dini. Kaolewa binti sio kanisa. Wamuache afurahie ndoa yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom