Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ptuuuuu!! Wanaume (sio wote) muwe na japo akiba kidogo ya aibu. Unatumia nguvu nyiiingi kumshawishi mwanamke. Unakubaliwa. Mnaenda hoteli, unalipia na unaagiza vinywaji. Muda wa kujigijigi...
8 Reactions
75 Replies
9K Views
Habari zenu wanaMMU. Nina mpenzi wangu ambae nnategemea kuwa atakuwa baba watoto ila ana tatizo (mimi naliita tatizo). Ni kwamba yeye ni mfanyakazi wa kampuni moja binafsi,ni kawaida yake huwa...
19 Reactions
392 Replies
31K Views
Sitasahau ni kama miaka mitano hivi imepita kipindi hicho nipo chuo. Kuna demu alikuwa ananichangamkia saana, haiishi siku hajanitafuta au hata kuja kwangu mara chache chache. Kipindi hicho kidume...
4 Reactions
58 Replies
6K Views
Habari Kichwa Cha habari chahusika. Hapa Leo bwana nimekwazana na mpenz wangu. Sasa jazba zimepanda hapa sijui nimfanyeje. Wanawake wanazingua jamani samtaim duuh. Halafu sababu za kijinga tuu...
2 Reactions
198 Replies
11K Views
Hey salaam Waungwana mko poa!? It's been a while but akuna Kilicho haribika kila kitu kipo as planned. Binafsi Napenda kuandika but mostly ni mahusiano hasa ya ndoa zaidi kuliko haya ya dead end...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu,najua mko poa kabisa Leo hii asubuhi nimepita kwenye mgahawa moja hapo kariakoo,nikasema ngoja nitafute supu nipige alafu niendelee na mambo mengine, Nikawa naingia ndani ya...
2 Reactions
62 Replies
6K Views
Bahati nzuri niliwahi kuzikuta hizi Chupi ' Komavu ' za VIP za miaka ile ya 60 kuja hadi mwanzoni mwa mwaka 2000 na sikuwahi kusikia Kauli yoyote ile ya Kudhihakiwa kwa Wanaume kutoka kwa Makundi...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Kuna wale wanaume wanafuga ndevu nyingi mpaka mdomo unaonekana kwa tabu hivi wakitaka ku kiss wanafanyaje au huwa Hawa kiss?
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu,likizo hii najifunza meng sana,..niko na shemej yenu hapa anaangalia kina kardashian,namii nmejikuta naangalia,..sasa huyu mzee wao aliejibadili jinsia,ndo tunabishana hapa kwamba je ,na...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
Katikati ya wiki iliyopita nilipata safari ya kuja kwenye jiji la joto (DSM) nikitokea mkoa fulani wa pembezoni. Kwenye gari nilikaa siti iliyopakana na mtoto mmoja mkali ambaye alikuwa anarudi...
2 Reactions
42 Replies
5K Views
Hivi yule video vixen wa video ya vaileth ya matonya Yuko wapi!? Mwenye taarifa tafadhali! Nimemkumbuka tu!Alikuwa so natural..!!
2 Reactions
27 Replies
5K Views
Ukiona unaishi bila kujiuliza mambo ya muhimu kama haya basi tambua kuwa una tatizo Mahusiano yako yanaendaje Ukiona unapitisha hadi siku tatu bila kuhoji juu ya mahusiano yako ya kimapenzi...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari Dalili 20 za mwanamke asiyekupenda kwa dhati! 1 : Hataki kuambata na wewe katika matembezi na ikitokea anakuwa mtu wa masharti mara akuambie tangulia nakuja au pengine kutembea nawe kwa...
14 Reactions
83 Replies
77K Views
Utakuta kidume umemvizia dem miaka miwili lakini umeishia kumla kwa macho tu sabab ya uzuri wake na udomo zege pia [emoji39] . Sasa inakuja kutokea siku mtu umejikaza yan ile umemtongoza tu na...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Wale wanaume au wanawake wenye guts za kukuambia “huko tuendako mimi na wewe hatuna future”, Mimi sina mpango wa kuoa/kuolewa sasa. Ukisikia haya jua hujakidhi vigezo, jisogeze taratibu. Unaweza...
28 Reactions
438 Replies
20K Views
Hii hali imekuwa kama kamtindo fulani, maana nina wiki kama moja hivi dushe langu limekuwa likisimama sana bila sababu za msingi, hasa asubuhi ndio imekuwa kero maana hata kuamka asubuhi siku hizi...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Nashindwa hata kula yamenikuta. Nimekuta message za mwanaume mwingine kwa mpenzi wangu. Zimetoka kwa rafiki yake wa kazini na mara nyingi huwa anampaga hata lifti kumrudisha nyumbani. Sijawahi...
10 Reactions
210 Replies
30K Views
Habari za sikukuu wapendwa Miaka ya sasa ni wanawake wachache sana utawakuta tu nyumban wamekaa bila kujishughulisha na kitu chochote Kuna ambao wapo nyumban lakin nje ya nyumba yao kutakuwa na...
10 Reactions
196 Replies
12K Views
Kuna wanawake wazuri aisee! Hahahaa acheni kabisa yaani! I usually don’t stammer but today I found myself stammering a little. Thick in all the right places you would think she was custom made...
7 Reactions
39 Replies
3K Views
Habari zenu ndugu! Ushauri wenu ni muhimu sana Kuna mkaka mmoja mstaarabu sana kwa muonekano wake na hata katika mazungumzo yake. Kaka huyu tunatoka nae sehemu moja, ameoa na ana watoto. Shughuli...
10 Reactions
103 Replies
12K Views
Back
Top Bottom