Natumaini Christmas na boxing day yenu imekwenda vyema wakuu. Tuvumiliane uandishi, somo la mwandiko sikuwahi kufaulu.
Iko hivi, nina mchumba wangu tuko pamoja huu mwaka wa 3, tuko vizuri tu...
Habari wana JF, kuna dada fulani ananipenda sana. Nimekuwa nae kwenye mahusiano kwa miaka 2 sasa. Anataka tufunge ndoa ila mimi nimemweleza kuwa siwezi kufunga ndoa kabla sijajenga huwo ndio...
Nipo likizo mazee.... Nmeenda kuwaona wana maskani angalau nami nishtue kidogo maana sometime nikikaa bila kitu kunakuja mafeelings ya ajabu ajabu tu.
Basi tumechoma issue yetu badaye tumekaa na...
Jamani kwa sababu za kutafuta rizki niko nje ya nchi. Huku nyuma nimemuacha kimwana kila siku huwa tunapigiana video calls mara 5 mpaka 10 kitu cha ajabu siku 2 kabla ya christmas akaanza kulalama...
Unatoa msaada kwa manzi kiroho safi tu, mwisho wa siku anakuchukulia kama danga.
Acheni hizo mambo nyie wasichana.. Wanaume wastaarabu bado tupo.
N:B
Baadhi, sio wote.
Habarini wakuu!
Nimepatwa na matatizo makubwa maishani ambayo yalipelekea nichanganyikiwe akili miaka ya nyuma,ila baada ya kutumia madawa na ushauri wa kisaikolojia,akili yangu ilirudi vyema...
Majina yetu huathiri haiba zetu kwa namna za ajabu kabisa... Unapomchagulia mtoto jina hakikisha unajua vema asili yake hasi na chanya zake na mustakabali wake... Kwani hujawahi kusikia mtu...
Nilikuwa naongea na jamaa yangu mmoja ambae ana kama miezi miwili ameowaaa alikuwa akiwaasa vijana flani hivi wanapopata mabinti wajitahidi sana kabla ya ndoa basi watest mitambo kwanza.....
Nia...
Kuna askari mmoja ambaye ameshatangulia mbele ya haki, alibahatika kuoa mke wa kwanza na kufanikiwa kupata kadhaa, maisha yalivyokuwa yanaendelea alimuacha mke wa kwanza na kuoa mke mwingine...
Kijana Shabab kabisa. Unapaka poda, unalegeza sauti na kuongea kama mwanamke. Mwili unaulegeza kama mwanamke.
Outing unakula soseji moja na nusu glasi ya juisi, halafu unajitia huwezi kumaliza...
Wazazi na wachungaji tunasumbuka bure...vijana wetu wala hawatuelewi. Jana ni siku ambayo vijana pote ulimwenguni walienda makanisani , pamoja na mambo mengine ujumbe mkuu ni kufurahia kuzaliwa...
Siku hizi kumekuwa na matangazo katika vyombo vya habari na hata mabango mtaani yamejaa ujumbe unaofanana.
*Ujumbe unaojulisha umma kuwa kuna dawa za kurefusha na kunenepesha uume. Au Ujumbe...
Kuna uamuzi nimeufanya ila muafaka wake utafikia ntapopata ushauri wa wanajamiiwazoefu wa maisha ikiwemo members wa humu ndani.
Mimi ni kijana mwenye miaka 26, naona ni wakati muafaka wa kufunga...
Wakati watu wajf wanasema wameolewa wameoa humu ila jf nope kweli mtanisamehe jf wapo watu ambao hawapo serious wako kwenye matani utoto napia wao hawajielewi wanatakaje .
Wanapotezea muda mtu...
MWANAMKE UKIWA UNAFANYA MOJA KATI YA YAFUATAYO:- *CHUKUA MKONO WAKO WA KULIA JIPIGE PIGE KIFUANI, SEMA "MIMI NI MPUMBAVU!".*
_1. Kuishi na mwanaume ambaye ajakutolea mahari au kukuoa. Hii...
KICHWA CHA HABARI CHA HUSIKA...
WALE tuliowahi kuchongewa either na mdogo wako au kaka yako au mama au shangazi au yeyote katika familia ukala kipondo au kazini au shuleni mwisho wa siku kupata...
NAZUNGUMZIA ULEVI WA AINA YOYOTE...UWE NI ULEVI WA POMBE, ZINAA, DAWA ZA KULEVYA N.K.
NI NGUMU KUMUONA MLEVI WA JAMBO FULANI AKIMSAIDIA MTU KATIKA JAMBO LA WEMA JINGINE...ISIPOKUWA UMOJA WAO NI...
_Hivi ninyi mna akili kuliko Muumbaji mwenyewe...?_
_Hivi Muumbaji alipoassign duties...akampa majukumu mwanaume ya KULA KWA JASHO...KUTAFUTA AILISHE NA AITUNZE FAMILIA YAKE...YAANI MWANAUME YEYE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.