Dih,kumbe hawa transgender hua had mashine inabadilishwa?mzungu nuksi

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,961
Wakuu,likizo hii najifunza meng sana,..niko na shemej yenu hapa anaangalia kina kardashian,namii nmejikuta naangalia,..sasa huyu mzee wao aliejibadili jinsia,ndo tunabishana hapa kwamba je ,na mashine inabaki vile vile ama

Sasa ikabid tuingie youtube,...daaah,hawa wazungu ni balaa,yaan kumbe wanabadili hadi mashine,yaan from mkuyenge to kipoch manyoya,na huwez gundua,yaan mule mule

Sasa ikabid niseme kimoyo moyo kwamba ndugu zangu inabid tuwe makin sana,unaeza lala na mtu ukajua ni dem kumbe ni dume la mbegu limebadili jinsia

Astakafurlah

Uzi tayari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya maneno "Uzi tayari" Mimi huwa yananichekesha sana jamani hahahahahahaha hahaahahahahahah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu,likizo hii najifunza meng sana,..niko na shemej yenu hapa anaangalia kina kardashian,namii nmejikuta naangalia,..sasa huyu mzee wao aliejibadili jinsia,ndo tunabishana hapa kwamba je ,na mashine inabaki vile vile ama

Sasa ikabid tuingie youtube,...daaah,hawa wazungu ni balaa,yaan kumbe wanabadili hadi mashine,yaan from mkuyenge to kipoch manyoya,na huwez gundua,yaan mule mule

Sasa ikabid niseme kimoyo moyo kwamba ndugu zangu inabid tuwe makin sana,unaeza lala na mtu ukajua ni dem kumbe ni dume la mbegu limebadili jinsia

Astakafurlah

Uzi tayari.

Sent using Jamii Forums mobile app

ninadhani neno lenyewe tu linaashiria mabadiliko yani "transgender". Kumbuka hawa ni wale wanaobadili mara nyingi kwa kukusudia, usichanganye na wale wenye uwiliuwili, bisexual.
 
Back
Top Bottom