Niondokee na mkono wako wa sweta

Niondokee na mkono wako wa sweta

Beauty Eva

Senior Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
131
Reaction score
374
Ptuuuuu!! Wanaume (sio wote) muwe na japo akiba kidogo ya aibu. Unatumia nguvu nyiiingi kumshawishi mwanamke. Unakubaliwa. Mnaenda hoteli, unalipia na unaagiza vinywaji.

Muda wa kujigijigi unafika, unavua nguo zako.. kumbe mkono wa sweta. Looo, hunipati ng'ooooooo

Kwendraaaaaaa
 
Kwani mkono wa sweta ulikuwa unakuhusu nini? Ngozi yake inakuumiza!
 
Ptuuuuu!! Wanaume (sio wote) muwe na japo akiba kidogo ya aibu. Unatumia nguvu nyiiingi kumshawishi mwanamke. Unakubaliwa. Mnaenda hoteli, unalipia na unaagiza vinywaji.

Muda wa kujigijigi unafika, unavua nguo zako.. kumbe mkono wa sweta. Looo, hunipati ng'ooooooo

Kwendraaaaaaa
mopa io inanyonya maji yote hasa bwawani
 
JF inawatumiaji wengi sana yaaan hii leo ni ID mpya kwangu.

Umefanya vzuri kukimbia.,, mikono ya sweta nirahisi kukuambukiza au kuambukizwa magonjwa.

Ila ungemuonea huruma, mtu kakutumia nauli. Kalipia room. Umekula wee na kunywaa, jamaan umeshindwa mpako asafishe rungu tu ????

Kweli wanaume mateso[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
 
Back
Top Bottom