Tuliowahi kuchezea shilingi chooni tujuane hapa.

mtamaushi

Member
Joined
Mar 15, 2015
Posts
75
Reaction score
188
Sitasahau ni kama miaka mitano hivi imepita kipindi hicho nipo chuo. Kuna demu alikuwa ananichangamkia saana, haiishi siku hajanitafuta au hata kuja kwangu mara chache chache. Kipindi hicho kidume nipo kwenye mahusiano na kidem changu cha chuo nikawa sina hata habari nae kabisaa. Siku binti akajitoa ufahamu na kunieleza ya moyoni mwake. Sitasahau jibu nililompa nilimwambia sina hisia kabisa na ww na haitakuja kutokea nikawa nae. Majibu yale yakawa yamezidisha moto, binti akawa haishi kunishawishi niwe nae. Akawa anasema hata kama nina mtu mwingine yeye yupo tayar kwa hilo. Baada ya jitihada nyingi kushindikana binti akaacha kabisa.
Maisha yakaendelea mwaka uliopita nimekutana nae mtoto kawa mkali balaa, daaah!! utafikiri sio yule wa kipindi kile. Sasa ikawa zamu yangu kumfukuzia ila tayar akawa yupo kwenye mahusiano na mtu mwingine hivyo hawez kuwa na mm tena na nilipewa nafasi nikaikataa.

Weka hapa na wewe ni tukio lipi huwez kulisahau ambalo ulichezea bahati na ukaja kuijutia.
 
Kimsingi ulikua sahihi kumkataa kwa sababu tayari ulikua na mtu unampenda

Ila wanasemaga never say never...ungemkataa tu kistarabu bila kueka maneno ya hutokuja kumpenda

🎶Ona sasa onaaa
Ona sasa onaaa🎶 in lulu diva's voice
 
Umenifanya niusikilize huo wimbo,
Kimsingi ulikua sahihi kumkataa kwa sababu tayari ulikua na mtu unampenda

Ila wanasemaga never say never...ungemkataa tu kistarabu bila kueka maneno ya hutokuja kumpenda

[emoji445]Ona sasa onaaa
Ona sasa onaaa[emoji445] in lulu diva's voice
 
Sitasahau ni kama miaka mitano hivi imepita kipindi hicho nipo chuo. Kuna demu alikuwa ananichangamkia saana, haiishi siku hajanitafuta au hata kuja kwangu mara chache chache. Kipindi hicho kidume nipo kwenye mahusiano na kidem changu cha chuo nikawa sina hata habari nae kabisaa. Siku binti akajitoa ufahamu na kunieleza ya moyoni mwake. Sitasahau jibu nililompa nilimwambia sina hisia kabisa na ww na haitakuja kutokea nikawa nae. Majibu yale yakawa yamezidisha moto, binti akawa haishi kunishawishi niwe nae. Akawa anasema hata kama nina mtu mwingine yeye yupo tayar kwa hilo. Baada ya jitihada nyingi kushindikana binti akaacha kabisa.
Maisha yakaendelea mwaka uliopita nimekutana nae mtoto kawa mkali balaa, daaah!! utafikiri sio yule wa kipindi kile. Sasa ikawa zamu yangu kumfukuzia ila tayar akawa yupo kwenye mahusiano na mtu mwingine hivyo hawez kuwa na mm tena na nilipewa nafasi nikaikataa.

Weka hapa na wewe ni tukio lipi huwez kulisahau ambalo ulichezea bahati na ukaja kuijutia.
[emoji121]
KWA HIYO UNATAKA TUKUSAIDIE NINI LABDA MKUU??
 
Akil zako ka makalio, nilidhani unasema ulikuwa na biashara ikafa, pumbaf sana kijana usiyekuwa na akili unafikiria mapenzi badala ya maisha, ndiyo maana vijana ka wewe kila siku kulalamika tu maisha magumu badala ya kufanya kazi
 
Hawa watoto wa Facebook huku wanatafuta nn? Mello weka jukwaa la watoto humu ili nao wawe wanapata fursa ya kukutana, kila siku nawashaur waende Facebook hawataki, ahhh!
 
Mnachezea shilingi kwenye matundu ya vyoo hamna tofauti na wakina amber rutty
 
Back
Top Bottom