Jamani wazima nyie hii mada nimeona sehemu mbalimbali ikizungumzwa ila kwa sahivi tunaomba wanaume mtupe ya uvunguni yenu hivi unajisikiaje au unafeel vipi mkeo/demu wako akikata kiuno kwenye sita...
Habari zenu wadau,napenda kufahamu sifa za wasichana wa kindamba,maana kuna mmoja nataka kuanzisha mahusiano nae ya kimapenz..Nitashukuru kwa msaada wenu
Nina baadhi ya wanangu katika harakati zao za kufukuzia mamanzi hubadili hadi majina yao.
Binafsi hilo lilinishindwa, nataja tu jina langu halisi.
Vipi na wewe, ushawahi badili jina lako katika...
Yafuatayo yanaongoza kusababisha mapenzi na ndoa kulegalega na kufa:
1. Mpenzi kuombaomba vitu (pesa, msaada, vitu) kila wakati kwa mpenzi asiyekuwa na kipato au mwenye malengo ambayo...
Yaani hili nimelisema wazi kabisa bila kumung'unya maneno...
Tabia za watoa ushauri wengi zinafanana...
UNAKUTA WANAPENDA KUTOA USHAURI KWENYE DIFFICULT SITUATIONS ZA WATU KWA MAMBO AMBAYO...
Habari za Leo wanajamii. naitwa Philip wa Dsm nimekutana siku za karibuni na binti mmoja ambae nimetokea kumpenda na ninamalengo Mungu akitujalia awe mke wa ndoa. sasa naomba ushauri kama kuna mtu...
Habari
Jana nilileta uzi wa yule binti niliyesafiri nae kwenda mwanza nikamtongoza ndani ya gari akakubali.
Nashkuru kwa ushauri wenu, nilifanikiwa kumgegeda vilivyo. Pamoja na kwamba tulichoka...
Waungwana juzi kati nlikua town nasafisha macho kidogo,asa nkaingia duka flani hivi limesheheni vyupi vya wanawake nkaingia kucheka kama naweza kumpatia mama watoto angalau kazawadi ka skukuu...
Mambo vipi wadau!? hopefully mpo POA sio?,
Imekua muda mrefu kidogo but all good Merry Xmass fellas.
Nisipoteze muda niende kwenye content... Well two weeks ago had to travel to Dodoma for...
Wadau, salaam sana.
Imetokea akatika maisha yangu ya uhusiano mara tatu kwa binti mmoja. Kutoka kwa mashemeji (rafiki zangu wa kiume niliokuwa nao chuo)
WaKwanza:Kila siri yangu niliyokuwa...
Habari wakuu.
Mimi ni kijana wa miaka 29 nimeoa mke ana miaka 24 ,tuko kwenye mahusiano kwa miaka mitano sasa tumebarikiwa watoto wawili.
History yangu na huyu mwanamke nilikutana naye akiwa...
Imenishangaza tena.
Ni mara ya pili sasa mdogo wangu ameenda katika dispensary maarufu ya Meno, pale SDA- Njiro Arusha na katika mchakato wa kulipia hela ya kumwona Daktari akaulizwa
" Yeye ni...
Wakuu,
Nilishaapa kuwa sitakuja kutembea na house girl nyumbani kwangu, kwasababu ni kumkosea kabisa heshima mke wangu. Tumeishi miaka saba na mahouse girl wawili tofauti ambapo sikuwahi fikiria...
Asalam aleikum wanaJF
Niseme tu toka nimeanza mchezo huu wa mahabat asilimia 90 ya wanaume wanaonitongoza na ninaodate nao ni makabila haya.
Ulifika hadi mda nikajiuliza kwanini lakini hadi leo...
Waendesha bodaboda wao huwa hawatoi pesa, wanahonga lift tu. Demu anapewa lift kutoka Mbezi Mwisho mpaka Ubungo anaona kama booooonge la safari kumbe jamaa katumia mafuta ya buku mbili tu...
Mke kavaa stokings zinazofanana na nyoka aina ya black mamba ili amtishe mumewe, akasinzia kitandani huku miguu inayofanana na vichwa viwili vya nyoka vikichungulia.
Mume akatoka nje kimya kimya...
Wakuu nahitaji kujitoa out jioni kiwanja gani kikali naweza kwenda ikanikosha nafsi yangu hasa night club, nafikiria kwenda Micasa Lounge Ubungo ila sijui iko vipi
Ndio kuachwa kupo na ukiachwa achika ila kuna vitu huwa vinakupa furaha sana baada ya kuachana ntavitaja baadhi kama unacho utaongezea
1. yani mmeachana ila x wako anaanza kupauka huwa inaleta...
Kaka yake rafiki yangu anataka kumuoa msichana wa wa zamani wa mdogo wake
Mahusiano kati ya rafiki yangu na yule msichana yalivunjika mwaka mmoja na nusu uliopita, kabla ya sasa kukutana na kuanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.