Msaada wapendwa, mashine inasimama sana,

Msaada wapendwa, mashine inasimama sana,

functional

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2018
Posts
738
Reaction score
795
Hii hali imekuwa kama kamtindo fulani, maana nina wiki kama moja hivi dushe langu limekuwa likisimama sana bila sababu za msingi, hasa asubuhi ndio imekuwa kero maana hata kuamka asubuhi siku hizi inabidi nichelewe kwa kuepuka fedhea endapo nikikutana na watu, kiufupi inachukua kama masaa matatu hivi, ili kurudi kwenye hali ya kawaida sasa naomba ushauri nifanyeje.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni utoto kwan wewe ni ke ndo umepewa dushe juzi hujui linavyofanya kaz ? Mambo mengine wala sio ya kufungulia uzi. Amka piga push up kunywa maji. Acha ujinga na kuonyesha kiwango chako cha upumbavu. Hapa ni JF home of great thinkers. Sio fb
 
Acha mawazo ya kuwa unareflect ucku ukiwa umelala wanawake uliowaona wakati wa mchana kutwa either kazini, barabaran etc ikibidi oa km umri unakuruhusu
Hyo n ishara mbaya ya kujiunga na CHAPUTA mda c mrefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom