J putin
JF-Expert Member
- Oct 5, 2018
- 1,263
- 1,208
Wakuu,najua mko poa kabisa
Leo hii asubuhi nimepita kwenye mgahawa moja hapo kariakoo,nikasema ngoja nitafute supu nipige alafu niendelee na mambo mengine,
Nikawa naingia ndani ya mgahawa,nikakutanisha macho 2 macho na dada moja hivi mkali,yaani ni mkali ,nilivomtazama tu nikashangaa tu nimetoa tabasamu matata,dada wa watu naye akaunganisha bonge la tabasamu ,nadhani hii tabasamu lake ni la kufungia mwaka,
Sasa nikashangaa baada ya pale nikajua labda ananifahamu ,acha nupewe sifa na yule dada,hakika zile sifa sijawahi kupewa na dada yoyote toka nimezaliwa jamani,
Mwanaume nikabaki najiona mwanaume mbele ya wanaume wenzangu waliokuwa mle ndani,
Kwa hiyo ndo hivyo tu,
Niwatakie maandalizi mema ya mwaka mpya,
J Putin.
Sent using Jamii Forums mobile app