_Hivi ninyi mna akili kuliko Muumbaji mwenyewe...?_
_Hivi Muumbaji alipoassign duties...akampa majukumu mwanaume ya KULA KWA JASHO...KUTAFUTA AILISHE NA AITUNZE FAMILIA YAKE...YAANI MWANAUME YEYE...
Nimejuta sana, nimepanda gari na demu mzuri balaa, mzigo wamaana, hips, anajoto kali sana maana nipo dirishani yeye yupo pembeni yangu, hips zinanigusa zamoto kweli kweli ila ni kauzu utadhani...
Umejipangaje mtoko wa kesho ? Utatoka na nani ? Umejiandalia pocket money ya shilingi ngapi?
Binafsi kesho niko tu gheto na mtoto mkali atapika tukimaliza kula tu ndio muda wa kumla mpishi mpaka...
Sisi wanaume bhana, unaweza pata mwanamke mwenye elimu nzuri
kazi nzuri ,anajiheshimu pia anapenda
ndugu zako na kubwa ya yote anakupenda
Na ni mtu wa dini, kituko unaweza
ukamuacha kisa hana...
Katika maisha ya kilasiku walevi hudharauliwa sana huonekana hawana mana Zaidi watu wa dini huona ulevi Kama chukizo kubwa kwa Mungu.
Wakati ambapo ubinafsi ,Kiburi na kutamani huachwa tu...
Tulimwagana na huyu manzi, ila hivi karibuni analalamika siwasiliani naye. Kikubwa zaidi alitaka tuachane, nami nikashika hamsini zangu.
Sasa analalamika siwasiliani na yeye, simuelewi??
Hbr za asubuhi
Leo nimepata bahati ya kuachwa na kimada mmoja hivi mchunaji wa kimataifa
Sasa baada ya kitu na kukikosa akaamua kuvunja ukimya na kuvunja mahusiano.
Basi nimejiskia raha sana...
BY CAPITAL LIFESTYLE.
There are certain “special” occasions that would make a man want to run away from his girlfriend or wife because of the expectations from his beautiful lass. Such occasions...
Hali si hali wandugu hapa,
Ni hivi, nina mpenz wangu but yupo mbali sana, so kutokana na ukame nikakutana na binti mmoja hivi mrembo hasa, nikatupia ndoana akaingia tukaanza mahusiano na...
Nahitaji sababu za ' Kitaalam ' kabisa kwamba ni kwanini Wanaume wengi huweza kufika Mshindo ( Kupiga Mabao ) kwa haraka na bila matatizo kwa Mabao ya Kwanza na ya Tatu ( Tasa ) lakini Mabao ya...
Wakuu hasa Wa Dar, harusi itakuwa Kinondoni/Mwenge,je ni maeneo gani mazuri karibu na Kinondoni/Sinza/Mwenge ambayo naweza pigia picha za harudi yangu j2 hii ijayo ? Iwe ni garden
......Miaka 14 nyuma toka Sasa,niliachana na girlfriend wangu mpya Kisa Alikuwa Ana MAJI Sana kule Bondeni.....Kila akitafuta kwa simu nilikuwa simjibu SMS zake na pia Sipokei Calls Zake.
Dah...
Habari za asubuhi mabibi na mabwana........
Natumai mko vizuri na maandalizi ya sikukuu ya Xmas an Mwaka Mpya......!! Hongera kwa kila mmoja kwa kupambana na hali zenu kila mtu kwa uwezo wake...
Hi MMU...!
Maumivu niliyopitia jana leo yanakuwa darasa huru ktk maisha yangu. Jana nilipong'atwa na nyuki nikajitutumua kufikicha maumivu, kumbe maumivu ndo yanaongezeka na nundu ndo linavimba...
Hello guys
Kwa kweli nikialikwa kwenye sherehe na ndugu zangu naenda ila huwa nakereka sana rohoni natamani hata wasingenialika, wakinipigia simu niwatembelee huwa sipokei simu zao, kama msaada...
Polen na majukumu ya ujenzi wa taifa letu tz
Naingia madani moja kwa moja
Mwenzenu nimetunukiwa na mwenyez mungu watoto pacha wa kike apo tar 30/3/2018 SAA 3 ucku
Naomben msaada wa majina 2...
Kiukweli naandika kwa masikitiko sana. Toka muda huyu mchuchu nilikuwa nahisi kama kuna kitu hakiko sawa. Sasa badala ya uchunguzi wangu wa kiintelijensia nikamfuma yuko na mchina. Sasa nimeongea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.